BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja, Vita vya Ukraine: Ukraine yaondoa mizinga ya Abrams vitani kwa sababu ya ndege zisizo na rubani-AP
Jeshi la Ukraine limeondoa vifaru vya vyake vya Abrams M1A1 katika vita vyake na Urusi kutokana na upelelezi na ndege zisizo na rubani za Urusi
Shirika la ndege la Kenya laishtumu DR Congo kwa kuwazuilia wafanyakazi wake
Wafanyakazi wawili wa KQ walikamatwa na kitengo cha kijasusi cha kijeshi cha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ijumaa iliyopita.
Kwa nini 'uwezo mkubwa' wa China unazitia wasiwasi Ulaya na Marekani?
Marekani inasema kwamba viwanda vinavyoibukia viliathirika na uagizaji wa bidhaa za bei nafuu kutoka China kama vile chuma miaka 10 iliyopita
'Kisiwa cha kifo' kilichofanyiwa majaribio wakati wa Vita vya Pili vya Dunia
Kisiwa cha Gruinard kilikuwa mahali pa jaribio la siri la Uingereza wakati wa Vita vya Pili vya Dunia ili kufanyia majaribio ya Kimeta
Tetesi za soka Ijumaa tarehe 26.04.2024
Winga wa Crystal Palace Mfaransa Michael Olise, 22, atakuwa tayari kuhamia Manchester United msimu ujao.(90min)
Virutubisho vitano muhimu wanavyohitaji wanawake
Hatua za maisha ya mwanamke, kama vile hedhi, ujauzito na kukoma hedhi huathiri mahitaji ya virutubishi fulani
Hakuna haja ya kuoga kila siku - hii ndiyo sababu
Je, ni lazima kuoga mara kwa mara? Baadhi ya wataalamu wanaamini kwamba kuoga kila siku kunategemea zaidi 'mkataba wa kijamii' kuliko mahitaji halisi.
155 wafa, zaidi ya 200 wajeruhiwa kwa mafuriko Tanzania
Watu 155 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 230 kujeruhiwa Tanzania kutokana na mvua kubwa.
Kwa nini Qatar imeruhusu uwepo wa ofisi ya Hamas nchini mwake?
Uvumi umetanda katika vyombo vya habari vya Magharibi na Kiarabu kuhusu iwapo Hamas itahamisha ofisi yake ya kisiasa kutoka Qatar hadi nchi nyingine, au Qatar inakusudia kuwafukuza viongozi wa Hamas na kufunga ofisi hiyo.
Vita vya Ukraine: Kwanini Ukraine inaweza kushindwa na Urusi 2024?
Kamanda wa zamani wa Uingereza ameonya kwamba Ukraine inaweza kushindwa na Urusi mwaka 2024. Kwnaini?
Bahari mpya itakayoigawa Afrika itaibuka mapema zaidi ya ilivyofikiriwa – Utafiti mpya
Mwaka 2023, makala 17 zilichapishwa, zikieleza juu ya mkondo mpya wa bahari utakaoibuka katika eneo la Afar, Ethiopia ambalo liko kwenye mipaka ya nchi hiyo pamoja Eritrea na Djibouti.
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Waridi wa BBC : Nilikimbia ‘dogoli na okuleya’ kutimiza ndoto yangu ya kuwa sauti ya jamii
Kipande cha gazeti kilichofungia sabuni kilivyonipa taarifa ya thamani
Vita vya Ukraine: Marekani yatuma kwa siri makombora ya masafa marefu kusaidia Kyiv
Tayari zimetumika angalau mara moja kulenga shabaha za Urusi katika eneo linalokaliwa la Crimea, ripoti za vyombo vya habari vya Marekani zinasema
Fahamu dalili za magonjwa manane ya figo
Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni wa Shirika la India la Nephrology, watu milioni 84 duniani kote wanaugua magonjwa mbalimbali ya figo.
'Tunahitaji muujiza' - Uchumi wa Israeli na Palestina ulivyoathiriwa na vita
Vita vya Gaza ambavyo vimedumu kwa zaidi ya miezi sita vimekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Israeli na Palestina.
Je, Israel itaiburuza Marekani kwenye vita vikali huko Mashariki ya Kati?
Israel inaonekana kutaka kupanua vita kutoka Gaza hadi Lebanon na pengine Yemen na hata Iran.
Ni silaha gani muhimu zinazohitajika na Ukraine kuzuia kasi ya Urusi?
Ni aina gani ya uhaba wa silaha na risasi utakaowakumba wanajeshi wa Ukraine iwapo bunge la Marekani litaendelea kuchelewesha upelekaji wa misaada kwa Ukraine?
Wasiwasi huku Rwanda ikijiandaa kuwasili kwa wahamiaji wa Uingereza
Makazi ya Hope Hostel nchini Rwanda yako tayari kupokea wahamiaji wasiotakiwa kutoka Uingereza kwa siku 664.
Je, nguvu za kijeshi kati ya Iran na Israel zinalingana vipi?
Matumizi ya ulinzi ya Israel ikilinganishwa na Pato la Taifa pia ni maradufu ya Iran.
Je, mzozo kati ya Israel na Iran unaweza kusababisha Vita vya Tatu vya Dunia?-Gazeti la The Independent
Ni kwa kiasi gani mwelekeo wa mzozo wa sasa kati ya Israel na Iran unaweza kupanuka na kugeuka kuwa vita vya tatu vya dunia.
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 26 Aprili 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 26 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 26 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 25 Aprili 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki