jokatemwegelo by @jokatemwegelo 58 days ago via Instagram
Nawashukuru @insigniatz kwa kuunga mkono juhudi za wilaya katika kuwezesha vijana wetu na hasa wa kike kupata miundombinu rafiki ya kujiendeleza kupitia Elimu. Pamoja na mchango wa rangi na vifaa vya kupakia rangi zitakazotumika kwenye vyumba vya madarasa mapya nane ya kisasa zilizobuniwa kwa maana ya michoro na taasisi za wanawake wahandisi na wasanifu majenzi @iet_women_chapter @tawahtz pia mafundi wetu wa Kisarawe watapatiwa mafunzo ya kuwaongezea ujuzi kwenye utendaji kazi wao. Pamoja na hayo Mkurugenzi wa @insigniatz ameahidi kuendelea kushirikiana na Wilaya kwenye sekta za Afya pia ujenzi wa zahanati na vituo vingine vya Afya na kuwezesha vijana. 
#TokomezaZeroKisarawe #KisaraweMpya @kisarawedc @kisarawe_mpya

Nawashukuru @insigniatz kwa kuunga mkono juhudi za wilaya katika kuwezesha vijana wetu na hasa wa kike kupata miundombinu rafiki ya kujiendeleza kupitia Elimu. Pamoja na mchango wa rangi na vifaa vya kupakia rangi zitakazotumika kwenye vyumba vya madarasa mapya nane ya kisasa zilizobuniwa kwa maana ya michoro na taasisi za wanawake wahandisi na wasanifu majenzi @iet_women_chapter @tawahtz pia mafundi wetu wa Kisarawe watapatiwa mafunzo ya kuwaongezea ujuzi kwenye utendaji kazi wao. Pamoja na hayo Mkurugenzi wa @insigniatz ameahidi kuendelea kushirikiana na Wilaya kwenye sekta za Afya pia ujenzi wa zahanati na vituo vingine vya Afya na kuwezesha vijana. #TokomezaZeroKisarawe #KisaraweMpya @kisarawedc @kisarawe_mpya

6607 143

Comment
mary_mpuni (8 days)😍πŸ”₯β€οΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ”₯πŸ™ŒπŸ”₯
faraja_haule (23 days)❀️
iamvjbroyces (32 days)πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Heko Heko Heko Dada DC @jokatemwegelo
paschal.thomas.9256 (37 days)❀️
janeth_modestus (39 days)My role model love u my @jokatemwegelo hongera mmy Mungu azid kukuinua

Show more comments