auntyezekiel

Get ranking button

AUNTYEZEKIEL @auntyezekiel
Ranking:
# 7
Country:
    Tanzania

Wrong country?

Change country

Happy Bday Mbeki Wangu mm......
Happy bday Chaupole Wang......
Happy bday chakucheka Wang.....
Mm apa Nakupenda Sana jua hvyo tuu.......
 #familyfirst❤️
@mbekibluescreen 
@mbekibluescreen

2019-09-15 13:07

5826 80

 

Happy Bday Mbeki Wangu mm...... Happy bday Chaupole Wang...... Happy bday chakucheka Wang..... Mm apa Nakupenda Sana jua hvyo tuu....... #familyfirst❤️ @mbekibluescreen @mbekibluescreen

KULA VIZURI SHIRIKI MAZOEZI MROHO NINAPOANZA KUJITETEA....
JAMAN HII KAZI TEGEMEENI CHOCHOTE MBELE SIO KWA KULA HUKU........
ANY WAY.......HICHO UNACHOKIONA NDIO UNACHOKIPATA.......CALL+255712227771 ULIPO KINAKUFIKIA......
 #theluxelounge💥 
 #theCEO👩‍💻

2019-09-15 11:16

3745 79

 

KULA VIZURI SHIRIKI MAZOEZI MROHO NINAPOANZA KUJITETEA.... JAMAN HII KAZI TEGEMEENI CHOCHOTE MBELE SIO KWA KULA HUKU........ ANY WAY.......HICHO UNACHOKIONA NDIO UNACHOKIPATA.......CALL+255712227771 ULIPO KINAKUFIKIA...... #theluxelounge💥 #theCEO👩‍💻

G9t 🙌🙌🙌

2019-09-14 21:31

21991 277

 

G9t 🙌🙌🙌

😋😋😋........
Aisee Huyu Samaki Ntakacho Mfanya hataamini Leo.......Ni Kiboko 
@theluxeyolo
 #theluxelounge💥 
 #YOLO💥

2019-09-14 17:44

4331 90

 

😋😋😋........ Aisee Huyu Samaki Ntakacho Mfanya hataamini Leo.......Ni Kiboko @theluxeyolo #theluxelounge💥 #YOLO💥

LUNCH TIME NOW USIHANGAIKE WAPI UTAPATA CHAKULA KIZURI KITAMU KAMA NYUMBANI......
THE LUXE NDIO SEHEMU SAHIHI......
CHAKULA KINAPATIKANA MUDA WOTE NA KINAWEZA KUKUFIKIA PIA ULIPO.....
JUST CALL......+255712227771
@theluxeyolo
 #theluxelounge💥 
 #YOLO💥

2019-09-14 10:05

7112 149

 

LUNCH TIME NOW USIHANGAIKE WAPI UTAPATA CHAKULA KIZURI KITAMU KAMA NYUMBANI...... THE LUXE NDIO SEHEMU SAHIHI...... CHAKULA KINAPATIKANA MUDA WOTE NA KINAWEZA KUKUFIKIA PIA ULIPO..... JUST CALL......+255712227771 @theluxeyolo #theluxelounge💥 #YOLO💥

Pamoja na Yote Ninayopitia Baba ........but always.....MY TRUST IS IN U .....🙏
I LOVE U.......YES ONLY U JESUS.....💞

2019-09-14 09:43

9304 206

 

Pamoja na Yote Ninayopitia Baba ........but always.....MY TRUST IS IN U .....🙏 I LOVE U.......YES ONLY U JESUS.....💞

Yaah......😋
IT'S FRESH FRIDAY.......👌
NTAKUWA THE LUXE LEO HADI KUKUCHE......🍾🍷
 #YOLO💥 
@theluxeyolo
 #theluxelounge💥 
 #luxekulaunachotaka
 #theCEO👩‍💻

2019-09-13 17:40

4139 66

 

Yaah......😋 IT'S FRESH FRIDAY.......👌 NTAKUWA THE LUXE LEO HADI KUKUCHE......🍾🍷 #YOLO💥 @theluxeyolo #theluxelounge💥 #luxekulaunachotaka #theCEO👩‍💻

UNACHOKIONA NDIO UNACHOKIPATA........
 #BIRIANI 
 #PILAU 
 #WALI NYAMA
 #UGALI SAMAKI
USHINDWE WW........
+255712227771
 #luxeunakulaunachotaka👌

2019-09-13 09:21

7983 215

 

UNACHOKIONA NDIO UNACHOKIPATA........ #BIRIANI #PILAU #WALI NYAMA #UGALI SAMAKI USHINDWE WW........ +255712227771 #luxeunakulaunachotaka👌

MENU OF THE DAY.........
 #BIRIANI
 #PILAU
 #WALI
 #UGALI
 #NYAMACHOMA
Na Drinks kama Zote......
Ijumaa leo Njoo tuanze Pamoja.....
Call.....+255712227771
Kwa Oda Yako.......
 #Theluxewearethebest👌

2019-09-13 08:14

6095 142

 

MENU OF THE DAY......... #BIRIANI #PILAU #WALI #UGALI #NYAMACHOMA Na Drinks kama Zote...... Ijumaa leo Njoo tuanze Pamoja..... Call.....+255712227771 Kwa Oda Yako....... #Theluxewearethebest👌

Haya Tukae Humo Tuanze Upya......
Kigodoro cha Leo Kimetaradadiiii 
In tii is Voice @tina_kansigo .....😂
.
Kenny @kenny_the_brand Unajua Sana aisee
.
Sijawahi pata Fabric kali Zaid kwa mtu tofauti na ww @the_queen_of_fabrics
.
Hair style an Make Up @nataliamakeup1000 Ww ndio kiboko yangu.....😘
.
Pic Aaaah ili tuliache tuu.....la baby @petefarasi9 
 #rommyiswedding

2019-09-12 11:03

22566 275

 

Haya Tukae Humo Tuanze Upya...... Kigodoro cha Leo Kimetaradadiiii In tii is Voice @tina_kansigo .....😂 . Kenny @kenny_the_brand Unajua Sana aisee . Sijawahi pata Fabric kali Zaid kwa mtu tofauti na ww @the_queen_of_fabrics . Hair style an Make Up @nataliamakeup1000 Ww ndio kiboko yangu.....😘 . Pic Aaaah ili tuliache tuu.....la baby @petefarasi9 #rommyiswedding

U are my one an only best friend in this world Waalah.......Ww ndie Rafiki ambaye tumeishi miaka 10 pasipo hata siku moja kusikia umenisema au kuniongelea vibaya rafiki ambaye unaweza usiwe na mm kwenye Raha ila ukawa na mimi kwenye shida yangu hata kama hatusemeshani utakuja utamaliza lililopo utaendelea kununa😂.......Ni Rafiki pekee Ukiwa umenuna ukisikia shida yangu lazma Uje haraka Ni Rafiki pekee unaogopa kila siku eti Unaniomba nisianze Kufa Mimi unaogopa😊 Mm mwenyewe Naogopa Nishakwambia......🤔Any way 🤷‍♀️Mwenyezi Mungu atuweke Inshallah.....🤦‍♀️ Nathamini hayo.... Sana.......Nakupenda Twema Wangu..... I can't wait kwa Mara ya kwanza huu Mwaka 😂😂😂 .........
Tar ....🤔... Save the Date😋
.
@wemasepetu
@wemasepetu 
@wemasepetu

2019-09-11 20:03

43815 1005

 

U are my one an only best friend in this world Waalah.......Ww ndie Rafiki ambaye tumeishi miaka 10 pasipo hata siku moja kusikia umenisema au kuniongelea vibaya rafiki ambaye unaweza usiwe na mm kwenye Raha ila ukawa na mimi kwenye shida yangu hata kama hatusemeshani utakuja utamaliza lililopo utaendelea kununa😂.......Ni Rafiki pekee Ukiwa umenuna ukisikia shida yangu lazma Uje haraka Ni Rafiki pekee unaogopa kila siku eti Unaniomba nisianze Kufa Mimi unaogopa😊 Mm mwenyewe Naogopa Nishakwambia......🤔Any way 🤷‍♀️Mwenyezi Mungu atuweke Inshallah.....🤦‍♀️ Nathamini hayo.... Sana.......Nakupenda Twema Wangu..... I can't wait kwa Mara ya kwanza huu Mwaka 😂😂😂 ......... Tar ....🤔... Save the Date😋 . @wemasepetu @wemasepetu @wemasepetu

Its All about @rommy3d is Wedding....
Kiukweli Ilikuwa siku nzuri Sana 
Nikiwa Kama Mwenyekiti na Muweka Hazina wa Shughuri hii kwa Niaba ya Familia nzima ya Rommy3d Napenda Kushukuru Wale Wote waliojitolea kwa Njia Moja au nyingine kufanikisha hili 
Kwani hata tungekuwa na Pesa bila Uwepo wenu pia ni bure tunasema Ahsanteni Sana......
Tag Wale wote Unaowaona hapo waambie Tunawapenda......
NB:HONGERA SANA ROMMY WANG MUNGU AKASIMAME NA WW KWENYE NDOA YAKO.....
I LOVE U.....
@rommy3d 
@rommy3d
@naah_3d 
@naah_3d

2019-09-11 15:23

7684 104

 

Its All about @rommy3d is Wedding.... Kiukweli Ilikuwa siku nzuri Sana Nikiwa Kama Mwenyekiti na Muweka Hazina wa Shughuri hii kwa Niaba ya Familia nzima ya Rommy3d Napenda Kushukuru Wale Wote waliojitolea kwa Njia Moja au nyingine kufanikisha hili Kwani hata tungekuwa na Pesa bila Uwepo wenu pia ni bure tunasema Ahsanteni Sana...... Tag Wale wote Unaowaona hapo waambie Tunawapenda...... NB:HONGERA SANA ROMMY WANG MUNGU AKASIMAME NA WW KWENYE NDOA YAKO..... I LOVE U..... @rommy3d @rommy3d @naah_3d @naah_3d

TANZANIA

Top Instagram followed

#7@auntyezekiel
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/cf7a7c05eec6b87577e430362db67938/5DFCB9FA/t51.2885-19/s150x150/69234504_477608313018500_5355640118633824256_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com auntyezekielfollowed by: 4643450
#8@hamisamobetto
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/315f78913f65b9a84d4804852dc2fc16/5DFF67FC/t51.2885-19/s150x150/64699756_1411382022347901_2290771097093668864_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com hamisamobettofollowed by: 4616446
#9@lizzzak
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/b11de03af7bc26f86bc8d07e7e9a48e9/5E055D77/t51.2885-19/s150x150/51679232_2238157899835445_2239084279537598464_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com lizzzakfollowed by: 4534671
#10@officiallinah
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/56bbdd7aae0a063513eadf78e6287042/5E38A679/t51.2885-19/s150x150/62533256_634417933726591_6572771066488291328_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com officiallinahfollowed by: 4490472
#11@idrissultan
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/b60434192a44337b09eeaa3839d4f901/5E0500F0/t51.2885-19/s150x150/67060169_2423594411207475_3281772764138045440_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com idrissultanfollowed by: 4339961
#12@alidaei
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/c0f495a5b3d15290a54f9ac834d6fdf5/5E08163C/t51.2885-19/11372129_1474208859568235_423869270_a.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com alidaeifollowed by: 4313741

See more instagram profiles from

TANZANIA

MORE