Tunauza samaki na dagaa fresh kabsa wa ziwa victoria,Jumla na Rejareja.
-Samaki sato Fresh
-Samaki Sangara Fresh
-Samaki Sato kukaanga
-Samaki sato wakavu waliookwa na moshi
-Samaki Sangara Kukaanga
-Samaki sangara wakavu(kibambala)
-dagaa wabichi walokaangwa.
-Dagaa wakavu wasafi wa bukoba.
KARIBUNI SANA.
:
:
Tupo Mwananyamala Sokoni.
Tunafanya Delivery kwa DSM na Mikoani tunatuma.(not for free)
No.0755302068/0622300098(whatsaap)