jokatemwegelo

Get ranking button

Jokate Mwegelo @jokatemwegelo
Ranking:
# 5
Country:
    Tanzania

Wrong country?

Change country

Ni jambo la kumshukuru Mungu pale Mwalimu aliyekufundisha Chuo Kikuu na ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Tawala CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa anaposema I AM PROUD OF YOU kwenye Kikao Cha Halmashuri Kuu Ya CCM Mkoa wa Pwani. Nashukuru Kiongozi wangu, sana. This was a very humbling moment for me. Naendelea kumuomba Mungu anijalie hekima, utulivu na maono mazuri kwenye uongozi wangu. Amen. 
Naomba niwabariki na hili neno Mungu Amekifanya Kila Kitu Kuwa Kizuri Kwa Wakati Wake - Mhubiri 3:11

2019-06-24 09:23

5859 201

 

Ni jambo la kumshukuru Mungu pale Mwalimu aliyekufundisha Chuo Kikuu na ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Tawala CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa anaposema I AM PROUD OF YOU kwenye Kikao Cha Halmashuri Kuu Ya CCM Mkoa wa Pwani. Nashukuru Kiongozi wangu, sana. This was a very humbling moment for me. Naendelea kumuomba Mungu anijalie hekima, utulivu na maono mazuri kwenye uongozi wangu. Amen. Naomba niwabariki na hili neno Mungu Amekifanya Kila Kitu Kuwa Kizuri Kwa Wakati Wake - Mhubiri 3:11

Jana wafanyakazi wa CRDB Premier Branch pale Posta- Dar es Salaam wakiongozwa na Branch Director wao walifika Kisarawe Pwani wakiwa na tshirt zao nzuri za CRDB Tokomeza Zero na kuchangia makambi yanayoendelea ya Kidato cha Nne kipindi hiki cha likizo. Tunawashukuru sana wote kwa moyo wenu na kujitoa kwenu kwenye programu hii ya #TokomezaZeroKisarawe Mbarikiwe Sana 
@kisarawe_mpya

2019-06-22 09:34

15201 217

 

Jana wafanyakazi wa CRDB Premier Branch pale Posta- Dar es Salaam wakiongozwa na Branch Director wao walifika Kisarawe Pwani wakiwa na tshirt zao nzuri za CRDB Tokomeza Zero na kuchangia makambi yanayoendelea ya Kidato cha Nne kipindi hiki cha likizo. Tunawashukuru sana wote kwa moyo wenu na kujitoa kwenu kwenye programu hii ya #TokomezaZeroKisarawe Mbarikiwe Sana @kisarawe_mpya

Nawashukuru Shirika La Masista Chipole kutoka songea vijijini wakiwakilishwa na hawa vijana wanaofanya nao kazi na kuchangia kampeni yetu ya #TokomezaZeroKisarawe kwa kutuletea sembe ya Chipole kilo 500. Nasema Asante Sana. @ms_getrude ❤️

2019-06-22 06:53

19042 233

 

Nawashukuru Shirika La Masista Chipole kutoka songea vijijini wakiwakilishwa na hawa vijana wanaofanya nao kazi na kuchangia kampeni yetu ya #TokomezaZeroKisarawe kwa kutuletea sembe ya Chipole kilo 500. Nasema Asante Sana. @ms_getrude ❤️

Leo tumefunga komgamano letu- yajayo yanafurahisha. 
Jana niliwaahidi vikundi vyote vya akina mama waliojitokeza kuonyesha na kuuza bidhaa zao nitanunua angalau bidhaa moja kutoka kwa kila kikundi kama sehemu ya kuwaunga mkono. Nashukuru Mungu leo nimenunua bidhaa kutoka vikundi zaidi ya 40 ikiwa ni pamoja na gauni la mtoto wa kike kutoka kikundi hiki cha akina mama ❤️. #KisaraweMpya @kisarawe_mpya

2019-06-21 17:10

15601 152

 

Leo tumefunga komgamano letu- yajayo yanafurahisha. Jana niliwaahidi vikundi vyote vya akina mama waliojitokeza kuonyesha na kuuza bidhaa zao nitanunua angalau bidhaa moja kutoka kwa kila kikundi kama sehemu ya kuwaunga mkono. Nashukuru Mungu leo nimenunua bidhaa kutoka vikundi zaidi ya 40 ikiwa ni pamoja na gauni la mtoto wa kike kutoka kikundi hiki cha akina mama ❤️. #KisaraweMpya @kisarawe_mpya

Kiukweli tunamshukuru sana Mungu kwa mafanikio makubwa ya kongamano letu. Akina mama tunashukuru sana kwa upendo wenu. Huu ni mwanzo tu. Mbarikiwe!! #KisaraweMpya @kisarawe_mpya

2019-06-21 17:04

6306 98

 

Kiukweli tunamshukuru sana Mungu kwa mafanikio makubwa ya kongamano letu. Akina mama tunashukuru sana kwa upendo wenu. Huu ni mwanzo tu. Mbarikiwe!! #KisaraweMpya @kisarawe_mpya

Asante sana Mama yangu Benj’i Issa Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Taifa kwa kufika mwenyewe kwenye ufunguzi wa kongamano ambalo baraza unalosimamia limesaidia kuratibu. Kazi unayofanya ni kubwa nasisi wanaKisarawe tunakushukuru sana na tunaahidi kuchapa kazi na kuleta mabadiliko ya kiuchumi wilayani kwetu kwa wananchi wote. #KisaraweMpya @kisarawe_mpya @choicefashiontz

2019-06-21 13:08

29712 247

 

Asante sana Mama yangu Benj’i Issa Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Taifa kwa kufika mwenyewe kwenye ufunguzi wa kongamano ambalo baraza unalosimamia limesaidia kuratibu. Kazi unayofanya ni kubwa nasisi wanaKisarawe tunakushukuru sana na tunaahidi kuchapa kazi na kuleta mabadiliko ya kiuchumi wilayani kwetu kwa wananchi wote. #KisaraweMpya @kisarawe_mpya @choicefashiontz

Nikitoa neno katika ufunguzi wa Kongamano la siku mbili la uwezeshaji wananchi kiuchumi Kisarawe. Nikisitizia umuhimu wa elimu na ujuzi wa stadi mbalimbali katika kufika malengo ya kujikwamua kiuchumi na nchi kufikia malengo ya kuwa na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. Ikumbikwe wilaya ya Kisarawe ilitoa eneo bure kwa Chuo Cha VETA ili kusaidia kuinua viwango vya ujuzi na elimu kwa vijana wetu mkoa wa Pwani katika kukidhi matakwa ya soko la Ajira, Viwanda na Teknolojia #KisaraweMpya @kisarawe_mpya

2019-06-21 10:45

7415 231

 

Nikitoa neno katika ufunguzi wa Kongamano la siku mbili la uwezeshaji wananchi kiuchumi Kisarawe. Nikisitizia umuhimu wa elimu na ujuzi wa stadi mbalimbali katika kufika malengo ya kujikwamua kiuchumi na nchi kufikia malengo ya kuwa na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. Ikumbikwe wilaya ya Kisarawe ilitoa eneo bure kwa Chuo Cha VETA ili kusaidia kuinua viwango vya ujuzi na elimu kwa vijana wetu mkoa wa Pwani katika kukidhi matakwa ya soko la Ajira, Viwanda na Teknolojia #KisaraweMpya @kisarawe_mpya

KISARAWE YAWEKA HISTORIA KONGAMANO LA SIKU MBILI UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI.
.

Tarehe 20-21/06/2019 katika Ukumbi Wa Minaki Sekondari wananchi zaidi ya 500 kutoka makundi ya wakulima, wafanyabiashara, wafugaji, wajasiriamali wadogo wadogo, sekta ya usafirishaji wameshiriki katika kongamano hilo na wamepewa elimu juu ya fursa mbalimbali zinazowazunguka ikiwemo ya mikopo na ruzuku kupitia mifuko kutoka Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Taifa.
.

Aidha Taasisi wezeshi kama TRA, SIDO, NDC, Mabenki, TaFF, PPRA, TARURA, CRB, PASS Trust Fund, AGITF, EFTA zimeshiriki kikamilifu katika kutoa elimu na kupokea maswali kutoka kwa wananchi.
.

Katika kutimiza azma ya Mhe Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli ya Tanzania ya Viwanda na kuelekea uchumi wa kati mwaka 2025, Wilaya ya Kisarawe imetenga maeneo yaliyopimwa kwa ajili ya uwekezaji wa Viwanda ambavyo tayari mchakato wa kuhakikisha maji na nishati inapatikana katika eneo hili umeanza.
.

Wilaya ya Kisarawe inajiandaa kuweka Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na uundwaji wa Baraza La Biashara Wilaya ambavyo kwa pamoja vitasaidia kutatua kero na changamoto za kiuchumi zinazowakabili wananchi na kutoa dira na fursa zilizopo.
.

Pia kupitia kongamano hili pia Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe imemaliza kwa asilimia 100 utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kiasi cha shillingi 107,136,000/- kwa vikundi 44 ikiwa ni sehemu ya asilimia 10 ya mapato yake ya ndani.
.

Akizungumza katika kongamano hili. Mgeni Rasmi Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Ndg Selemani Jafo ameelezea mambo makubwa ya kimapinduzi yaliyofanywa na uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kuweka mazingira wezeshi katika kumfanya mwananchi aweze kushiriki katika kujenga Uchumi kikamilifu Serikali ya Awamu ya Tano imefanya mapinduzi makubwa ya kiuchumi katika sekta ya viwanda,miundombinu,reli,elimu,Afya,maji,nishati,mawasiliano na uwekezaji. Kazi nzuri aliyoifanya na anayoendelea kuifanya Mhe Rais imeendelea kuiangazia Dunia aina ya Tanzania Ya Miaka 50 ijayo yenye uchumi wa kati.

 #KisaraweMpya @kisarawe_mpya

2019-06-21 10:33

5342 85

 

KISARAWE YAWEKA HISTORIA KONGAMANO LA SIKU MBILI UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI. . Tarehe 20-21/06/2019 katika Ukumbi Wa Minaki Sekondari wananchi zaidi ya 500 kutoka makundi ya wakulima, wafanyabiashara, wafugaji, wajasiriamali wadogo wadogo, sekta ya usafirishaji wameshiriki katika kongamano hilo na wamepewa elimu juu ya fursa mbalimbali zinazowazunguka ikiwemo ya mikopo na ruzuku kupitia mifuko kutoka Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Taifa. . Aidha Taasisi wezeshi kama TRA, SIDO, NDC, Mabenki, TaFF, PPRA, TARURA, CRB, PASS Trust Fund, AGITF, EFTA zimeshiriki kikamilifu katika kutoa elimu na kupokea maswali kutoka kwa wananchi. . Katika kutimiza azma ya Mhe Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli ya Tanzania ya Viwanda na kuelekea uchumi wa kati mwaka 2025, Wilaya ya Kisarawe imetenga maeneo yaliyopimwa kwa ajili ya uwekezaji wa Viwanda ambavyo tayari mchakato wa kuhakikisha maji na nishati inapatikana katika eneo hili umeanza. . Wilaya ya Kisarawe inajiandaa kuweka Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na uundwaji wa Baraza La Biashara Wilaya ambavyo kwa pamoja vitasaidia kutatua kero na changamoto za kiuchumi zinazowakabili wananchi na kutoa dira na fursa zilizopo. . Pia kupitia kongamano hili pia Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe imemaliza kwa asilimia 100 utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kiasi cha shillingi 107,136,000/- kwa vikundi 44 ikiwa ni sehemu ya asilimia 10 ya mapato yake ya ndani. . Akizungumza katika kongamano hili. Mgeni Rasmi Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Ndg Selemani Jafo ameelezea mambo makubwa ya kimapinduzi yaliyofanywa na uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kuweka mazingira wezeshi katika kumfanya mwananchi aweze kushiriki katika kujenga Uchumi kikamilifu Serikali ya Awamu ya Tano imefanya mapinduzi makubwa ya kiuchumi katika sekta ya viwanda,miundombinu,reli,elimu,Afya,maji,nishati,mawasiliano na uwekezaji. Kazi nzuri aliyoifanya na anayoendelea kuifanya Mhe Rais imeendelea kuiangazia Dunia aina ya Tanzania Ya Miaka 50 ijayo yenye uchumi wa kati. #KisaraweMpya @kisarawe_mpya

Agenda ya leo Kisarawe. Tumedhamiria kuleta mapinduzi ya kiuchumi Kisarawe. Wote Mnakaribishwa!!!! #KisaraweMpya @kisarawe_mpya

2019-06-20 05:57

5068 184

 

Agenda ya leo Kisarawe. Tumedhamiria kuleta mapinduzi ya kiuchumi Kisarawe. Wote Mnakaribishwa!!!! #KisaraweMpya @kisarawe_mpya

Kijiji cha Gwata kilichopo Kata ya Mafizi kiko takribani kilometa 100 kutoka makao makuu ya Wilaya ya Kisarawe. Hapa tuko kwenye stesheni ya treni ya TAZARA. Wilaya ya Kisarawe ina reli mbili zinazopita ya TAZARA na Reli ya Kati - TRC. 
Kisarawe Ukae. Kisarawe Unogile.

2019-06-19 19:10

11277 122

 

Kijiji cha Gwata kilichopo Kata ya Mafizi kiko takribani kilometa 100 kutoka makao makuu ya Wilaya ya Kisarawe. Hapa tuko kwenye stesheni ya treni ya TAZARA. Wilaya ya Kisarawe ina reli mbili zinazopita ya TAZARA na Reli ya Kati - TRC. Kisarawe Ukae. Kisarawe Unogile.

Leo pamoja na wanakijiji wa Gwata tumefanya kikao pamoja na mambo mengi tuliyojadili tumekubaliana kusitisha umilikishaji na uwekezaji wa ardhi mpaka tukimaliza uchunguzi juu ya migogoro ya ardhi kwenye kijiji hiki. Tayari kuna timu iko kijijini inafanya uchunguzi.

2019-06-19 18:22

7878 98

 

Leo pamoja na wanakijiji wa Gwata tumefanya kikao pamoja na mambo mengi tuliyojadili tumekubaliana kusitisha umilikishaji na uwekezaji wa ardhi mpaka tukimaliza uchunguzi juu ya migogoro ya ardhi kwenye kijiji hiki. Tayari kuna timu iko kijijini inafanya uchunguzi.

Ukaguzi wa mradi wa madarasa na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Kisarawe Shule Ya Sekondari Gwata. Tuliongozwa na Afisa Tarafa Mzenga Ndg. Michael

2019-06-19 17:17

14407 145

 

Ukaguzi wa mradi wa madarasa na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Kisarawe Shule Ya Sekondari Gwata. Tuliongozwa na Afisa Tarafa Mzenga Ndg. Michael

NEXT PAGE

TANZANIA

Top Instagram followed

#5@jokatemwegelo
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/vp/89c2b91524bd8b2f2dca3d8445f3ca67/5DA5564E/t51.2885-19/s150x150/45984333_2208143099433815_5130792361575579648_n.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com jokatemwegelofollowed by: 4669282
#6@wolperstylish
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/vp/272665233d7c3940d4154d4e17d3c59e/5DBA418A/t51.2885-19/s150x150/35353431_868556363331083_961233360384950272_n.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com wolperstylishfollowed by: 4587178
#7@lizzzak
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/vp/ca89180f8346a70c412dda1235e7a844/5D8EB677/t51.2885-19/s150x150/51679232_2238157899835445_2239084279537598464_n.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com lizzzakfollowed by: 4418707
#8@auntyezekiel
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/vp/28397c4adf67254445c1850589cd2bac/5DC5A242/t51.2885-19/s150x150/64826150_1041731939364669_5911606270548246528_n.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com auntyezekielfollowed by: 4277088
#9@alidaei
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/vp/b376437192e31bf65d8f79adab30ce1f/5DB8FC3C/t51.2885-19/11372129_1474208859568235_423869270_a.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com alidaeifollowed by: 4175778
#10@officiallinah
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/vp/71aab512c7acfb00954d175bb6d72f7a/5DC1FF79/t51.2885-19/s150x150/62533256_634417933726591_6572771066488291328_n.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com officiallinahfollowed by: 4150113

See more instagram profiles from

TANZANIA

MORE