jokatemwegelo

Get ranking button

Jokate Mwegelo @jokatemwegelo
Ranking:
# 6
Country:
    Tanzania

Wrong country?

Change country

πŸ™πŸ½ @thevoicetz

2020-04-10 13:39

3385 118

 

πŸ™πŸ½ @thevoicetz

It is done, it is finished, it is well. I Love You Jesus. Thank you Jesus ❀️ Stay safe and take precautions πŸ™πŸ½

2020-04-10 09:17

13465 243

 

It is done, it is finished, it is well. I Love You Jesus. Thank you Jesus ❀️ Stay safe and take precautions πŸ™πŸ½

Kheri ya kuzaliwa mama na kiongozi wetu @kmuwt_queenmlozi Mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi. Amen!!
Wanawake Jeshi Kubwa @uwt_taifa 
Njano imekupendeza @mbogojesca πŸ˜˜πŸ˜ƒ

2020-04-09 20:02

7731 93

 

Kheri ya kuzaliwa mama na kiongozi wetu @kmuwt_queenmlozi Mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi. Amen!! Wanawake Jeshi Kubwa @uwt_taifa Njano imekupendeza @mbogojesca πŸ˜˜πŸ˜ƒ

Thank you for having me my friend. 
God Bless @ubifranklintriplemg πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡³πŸ‡¬ #TanzaniaNigeriaConnect

2020-04-09 13:16

9819 115

 

Thank you for having me my friend. God Bless @ubifranklintriplemg πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡³πŸ‡¬ #TanzaniaNigeriaConnect

Such a beautiful and talented young lady. Mimi ni shabiki wako tangu mwaka jana nilipoona cover yako ya Nadekezwa 😊
I’m here to cheer for more talented/passionate young women in the music/entertainment and arts space πŸŽ‰ 
Hongera kwa kukuza na kulea kipaji mama Khadija Kopa nawatakia kila la kheri na mafanikio tele @officialkhadijakopa @officialzuchu ❀️

2020-04-09 08:41

17285 450

 

Such a beautiful and talented young lady. Mimi ni shabiki wako tangu mwaka jana nilipoona cover yako ya Nadekezwa 😊 I’m here to cheer for more talented/passionate young women in the music/entertainment and arts space πŸŽ‰ Hongera kwa kukuza na kulea kipaji mama Khadija Kopa nawatakia kila la kheri na mafanikio tele @officialkhadijakopa @officialzuchu ❀️

Happy Karume Day 
Illustration by my brother @rams.tagram

2020-04-07 12:16

9886 90

 

Happy Karume Day Illustration by my brother @rams.tagram

Best Cakes In Town. Been baking since 1995!!
Keki nzuri sana. Asante @sugarnspicetz

2020-04-05 15:45

9804 94

 

Best Cakes In Town. Been baking since 1995!! Keki nzuri sana. Asante @sugarnspicetz

Theresia O Mhaiki. Happy new age sunshine. I love you cuz. Shine on ❀️❀️❀️❀️ @teeolly #foe

2020-04-05 12:25

16585 157

 

Theresia O Mhaiki. Happy new age sunshine. I love you cuz. Shine on ❀️❀️❀️❀️ @teeolly #foe

God is faithful. Kheri ya kuzaliwa my brother, ndugu yangu wa siku nyingi Mhe DC @ggondwe sina mengi ya kusema yote nasemaga- wewe ni hazina, una moyo na utu wa ajabu, itoshe kwa leo kusema uzidi kuwa baraka Kwa nchi kiongozi wetu πŸ™πŸ½
Easily one of my favorite leaders in the country πŸ˜ŠπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

2020-04-04 14:24

4925 116

 

God is faithful. Kheri ya kuzaliwa my brother, ndugu yangu wa siku nyingi Mhe DC @ggondwe sina mengi ya kusema yote nasemaga- wewe ni hazina, una moyo na utu wa ajabu, itoshe kwa leo kusema uzidi kuwa baraka Kwa nchi kiongozi wetu πŸ™πŸ½ Easily one of my favorite leaders in the country πŸ˜ŠπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Happy Birthday Sis. Hope you celebrate this new age properly 🎈☺️. God bless you @zainabkatimba 😘

2020-04-04 14:19

13792 117

 

Happy Birthday Sis. Hope you celebrate this new age properly 🎈☺️. God bless you @zainabkatimba 😘

Mwezi wa kwanza Waziri wa Uwekezaji/ Minister of Investment Mhe Angela Kairuki alifanya ziara ya kikazi Kisarawe na kutembelea kiwanda chetu cha Chilambo Electronic Management Waste cha mwekezaji wetu mzawa. Mwenye kiwanda aliongelea changamoto kuu mbili umeme na maji ambazo kukosekana kwa huduma hizo kunasababisha kiwanda chake kuingia garama kubwa za uzalishaji. Kwenye kikao chetu uongozi wa wilaya tulimuahidi Mhe Waziri mpaka kufika mwezi wa tatu changamoto ya upatikanaji wa umeme kwenye kiwanda chetu hicho itakuwa historia. 
Tunashukuru kwa ushirikiano mkubwa kutoka uongozi wa TANESCO KISARAWE aliweza kufungiwa transforma na tayari mwekezaji wetu huyu ameanza kupata umeme kwa ghrama nafuu utakaomuwezesha kuendesha hichi kiwanda lakini pia anajenga kiwanda kingine eneo karibu na hili cha kuzalisha mifuko mbadala ya matumizi ya kila siku. Nafurahi sana kuona tunaweza kutatua changamoto za wawekezaji wetu kwa wakati. 
Pamoja na hayo namshukuru Mhe Waziri Angela Kairuki kwa kumpa ushauri mwekezaji wetu wa kujiandikisha TIC baada ya kugundua anatumia gharama kubwa sana kwenye kuagiza vifaa kutoka nje na kuvilipia kodi. Kujiandikisha TIC na kupatiwa certificate of incentives inakuwezesha kupata unafuu wa kodi kwenye uagizaji wa mahitaji mbalimbali hasa kwenye heavy duty machinery, heavy trucks kutoka nje kuingia nchini kwa ajili ya shughuli za uzalishaji. Na tayari mwekezaji wetu amekwishapata certificate yake. Hii ni hatua kubwa ya muhimu inayowapa ahueni wawekezaji wetu lakini pia inasaidia kuvutia uwekezaji zaidi hapa nchini. #KisaraweMpya #TanzaniaMpya #PwaniYaViwanda #HapaKaziTu πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

2020-04-03 14:59

11774 125

 

Mwezi wa kwanza Waziri wa Uwekezaji/ Minister of Investment Mhe Angela Kairuki alifanya ziara ya kikazi Kisarawe na kutembelea kiwanda chetu cha Chilambo Electronic Management Waste cha mwekezaji wetu mzawa. Mwenye kiwanda aliongelea changamoto kuu mbili umeme na maji ambazo kukosekana kwa huduma hizo kunasababisha kiwanda chake kuingia garama kubwa za uzalishaji. Kwenye kikao chetu uongozi wa wilaya tulimuahidi Mhe Waziri mpaka kufika mwezi wa tatu changamoto ya upatikanaji wa umeme kwenye kiwanda chetu hicho itakuwa historia. Tunashukuru kwa ushirikiano mkubwa kutoka uongozi wa TANESCO KISARAWE aliweza kufungiwa transforma na tayari mwekezaji wetu huyu ameanza kupata umeme kwa ghrama nafuu utakaomuwezesha kuendesha hichi kiwanda lakini pia anajenga kiwanda kingine eneo karibu na hili cha kuzalisha mifuko mbadala ya matumizi ya kila siku. Nafurahi sana kuona tunaweza kutatua changamoto za wawekezaji wetu kwa wakati. Pamoja na hayo namshukuru Mhe Waziri Angela Kairuki kwa kumpa ushauri mwekezaji wetu wa kujiandikisha TIC baada ya kugundua anatumia gharama kubwa sana kwenye kuagiza vifaa kutoka nje na kuvilipia kodi. Kujiandikisha TIC na kupatiwa certificate of incentives inakuwezesha kupata unafuu wa kodi kwenye uagizaji wa mahitaji mbalimbali hasa kwenye heavy duty machinery, heavy trucks kutoka nje kuingia nchini kwa ajili ya shughuli za uzalishaji. Na tayari mwekezaji wetu amekwishapata certificate yake. Hii ni hatua kubwa ya muhimu inayowapa ahueni wawekezaji wetu lakini pia inasaidia kuvutia uwekezaji zaidi hapa nchini. #KisaraweMpya #TanzaniaMpya #PwaniYaViwanda #HapaKaziTu πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

❀️❀️❀️❀️ @dj_sweetlady @officialsalha_abdallah

2020-04-01 19:59

7678 128

 

❀️❀️❀️❀️ @dj_sweetlady @officialsalha_abdallah

TANZANIA

Top Instagram followed

#6@jokatemwegelo
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/45984333_2208143099433815_5130792361575579648_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com&_nc_ohc=5dIPqxkHEhAAX-MgAHo&oh=6ebe5d94b36b8b12f66d036272bb841d&oe=5EBAEE32 jokatemwegelofollowed by: 6114956
#7@auntyezekiel
https://scontent-frx5-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/75330252_446354619600454_6826299885004783616_n.jpg?_nc_ht=scontent-frx5-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=EcBgYIahwKEAX9vszmV&oh=61317afd1d782f8b4ca5205b1d827506&oe=5EFFF7C3 auntyezekielfollowed by: 5795303
#8@cloudsfmtz
https://scontent-lht6-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/24254166_164275047508343_2289374425268617216_n.jpg?_nc_ht=scontent-lht6-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=xdAjIZ_h58kAX9a-rRw&oh=df0ea2d494ce31c07e10a03cd8b2c6a9&oe=5EF7C0A4 cloudsfmtzfollowed by: 5321649
#9@wolperstylish
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/d2e718de75945d5d661190b3d8ba794b/5E095B8A/t51.2885-19/s150x150/35353431_868556363331083_961233360384950272_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com wolperstylishfollowed by: 4930474
#10@juma_jux
https://scontent-cdg2-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/91124593_587738898513341_8653302298967015424_n.jpg?_nc_ht=scontent-cdg2-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=A3WDvZ6qGYMAX-8hYI7&oh=cbc6cf698c78afd11ab3e3b18a57e033&oe=5EC2349C juma_juxfollowed by: 4902690
#11@zamaradimketema
https://scontent-frx5-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/10570179_1518477991697867_235216008_a.jpg?_nc_ht=scontent-frx5-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=RJ6EODVRZtwAX--HQpP&oh=1889afb778e36a033940afebff75fd75&oe=5EFD277B zamaradimketemafollowed by: 4873451

See more instagram profiles from

TANZANIA

MORE