parimatch.co.tz

Get ranking button

Parimatch Tanzania @parimatch.co.tz

Add country

鈿絃icha ya kukosa pointi katika raundi za awali, Aston Villa bado wanataka kuonyesha kuwa wanastahili kucheza ligi kuu ya Uingereza msimu huu. 鉅
馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥
Kwa morali waliyokuwa nayo wachezaji wa West Ham sasa wanaenda kupimishana misuli na Villans. 鉅
馃槺Je! Aston Villa inaweza kuonyesha perfomance yao bora kwa mashabiki watakao kuwa wanawatazama wakicheza katika dimba lao la nyumbani, au wachezaji wa kocha Manuel Pellegrini watautawala mchezo huo?
鉅
 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-16 06:56

137 6

 

鈿絃icha ya kukosa pointi katika raundi za awali, Aston Villa bado wanataka kuonyesha kuwa wanastahili kucheza ligi kuu ya Uingereza msimu huu. 鉅 馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥 Kwa morali waliyokuwa nayo wachezaji wa West Ham sasa wanaenda kupimishana misuli na Villans. 鉅 馃槺Je! Aston Villa inaweza kuonyesha perfomance yao bora kwa mashabiki watakao kuwa wanawatazama wakicheza katika dimba lao la nyumbani, au wachezaji wa kocha Manuel Pellegrini watautawala mchezo huo 鉅 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

馃槺馃槺FULL TIME: Norwich City 3-2 Manchester City
鉅
Nope! 馃敟Norwich City wamewafunga mabingwa watetezi!
鉅
鈿斤笍Ni dhahiri kusema kwamba hakuna aliyetarajia kutokea hili. Lakini Norwich City walistahili kupata pointi 3 kwa hakika.
鉅
鈿斤笍Norwich City iliopanda daraja na kujiunga na ligi kuu ya Uingereza imeweka historia baada ya kuwachakaza mabingwa watetezi wa ligi hiyo #mancity 鉅
鈿斤笍Canaries waliwakosa wachezaji wake wanane kutokana na kuwa majeruhi lakini walitumia fursa hiyo kucheza kwa uangalifu na mabingwa watetezi ambao hawakuwa waangalifu katika safu ya ulinzi.
鉅
鈿斤笍Kwa mara nyingine tena nyota mpya wa #premierleague Pukki amefanikiwa kutingisha nyavu za wapinzani wake.
鉅
 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-15 17:10

387 5

 

馃槺馃槺FULL TIME: Norwich City 3-2 Manchester City 鉅 Nope! 馃敟Norwich City wamewafunga mabingwa watetezi! 鉅 鈿斤笍Ni dhahiri kusema kwamba hakuna aliyetarajia kutokea hili. Lakini Norwich City walistahili kupata pointi 3 kwa hakika. 鉅 鈿斤笍Norwich City iliopanda daraja na kujiunga na ligi kuu ya Uingereza imeweka historia baada ya kuwachakaza mabingwa watetezi wa ligi hiyo #mancity 鉅 鈿斤笍Canaries waliwakosa wachezaji wake wanane kutokana na kuwa majeruhi lakini walitumia fursa hiyo kucheza kwa uangalifu na mabingwa watetezi ambao hawakuwa waangalifu katika safu ya ulinzi. 鉅 鈿斤笍Kwa mara nyingine tena nyota mpya wa #premierleague Pukki amefanikiwa kutingisha nyavu za wapinzani wake. 鉅 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

 #VPL鉅
Michezo ya ligi kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi leo katika viwanja tofauti tofauti majira ya saa 10:00 jioni, Je unadhani ni nani ataweza kuondoka na alama tatu?
馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍
鉅
 #caf #taifastars #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-15 14:05

371 8

 

#VPL鉅 Michezo ya ligi kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi leo katika viwanja tofauti tofauti majira ya saa 10:00 jioni, Je unadhani ni nani ataweza kuondoka na alama tatu 馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍 鉅 #caf #taifastars #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

鈿金煉chezo huu kwa Arsenal ni wa lazima kushinda ili iweze kukaa na timu zinazopambania nafasi nne za juu katika msimamo. Watford walikuwa wazuri kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA msimu uliopita na itakuwa sio mechi rahisi kwa Arsenal japo mtanange unatazamiwa kuwa na mabao mengi.

Tazama michezo yote 馃憠www.parimatch.co.tz na bila ya kusahau kuweka mkeka wako kwa kutumia 馃摬App yetu ya kijanja! 鈿解毥Watford

Utabiri wa kikosi (4-2-2-2): Foster; Janmaat, Cathcart, Mariappa, Masina; Doucoure, Kapoue; Hughes, Pereyra; Deulofeu, Deeney

Watakao kosa mchezo kutokana na kuwa majeruhi: Cleverley, Penaranda, Domingos Quina, Holebas hawa wote ni majeruhi.

Asilimia chache za kucheza: Success, Deulofeu, Kiko Femenia 鈿解毥ARSENAL

Utabiri wa kikosi (3-4-2-1): Leno; Koscielny, Mustafi, Monreal; Maitland-Niles, Guendouzi, Ramsey, Kolasinac; Mkhitaryan, Ozil; Lacazette

Watakao kosa mchezo kutokana na kuwa majeruhi: Welbeck, Holding, Bellerin huku Sokratis akiwa pekee amesimamishwa

Asilimia chache za kucheza: Xhaka

2019-09-15 13:21

201 9

 

鈿金煉chezo huu kwa Arsenal ni wa lazima kushinda ili iweze kukaa na timu zinazopambania nafasi nne za juu katika msimamo. Watford walikuwa wazuri kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA msimu uliopita na itakuwa sio mechi rahisi kwa Arsenal japo mtanange unatazamiwa kuwa na mabao mengi. Tazama michezo yote 馃憠www.parimatch.co.tz na bila ya kusahau kuweka mkeka wako kwa kutumia 馃摬App yetu ya kijanja! 鈿解毥Watford Utabiri wa kikosi (4-2-2-2): Foster; Janmaat, Cathcart, Mariappa, Masina; Doucoure, Kapoue; Hughes, Pereyra; Deulofeu, Deeney Watakao kosa mchezo kutokana na kuwa majeruhi: Cleverley, Penaranda, Domingos Quina, Holebas hawa wote ni majeruhi. Asilimia chache za kucheza: Success, Deulofeu, Kiko Femenia 鈿解毥ARSENAL Utabiri wa kikosi (3-4-2-1): Leno; Koscielny, Mustafi, Monreal; Maitland-Niles, Guendouzi, Ramsey, Kolasinac; Mkhitaryan, Ozil; Lacazette Watakao kosa mchezo kutokana na kuwa majeruhi: Welbeck, Holding, Bellerin huku Sokratis akiwa pekee amesimamishwa Asilimia chache za kucheza: Xhaka

Pata msisimko wa kweli wa soka馃槣
鉅
馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥
Licha ya kuwa Bournemouth imeshikilia nafasi ya 15 katika msimamo wa #epl lakini ipo nyuma kwa alama tatu tu kwa Everton. 鉅
Kikosi cha Toffees kilichoboreshwa kipo tayari kupambana kwa kila hali ndani ya msimu huu. Kwa upande mwingine, Bournemouth siku zote wamekua miamba migumu kila inapokutana na vilabu vikubwa vinavyotokea Uingereza. 鉅
馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥
Mambo mswano, mashabiki wanangojea mchezo unaofuata.
鉅
Beti馃槣
鉅
 #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-15 07:00

280 9

 

Pata msisimko wa kweli wa soka馃槣 鉅 馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥 Licha ya kuwa Bournemouth imeshikilia nafasi ya 15 katika msimamo wa #epl lakini ipo nyuma kwa alama tatu tu kwa Everton. 鉅 Kikosi cha Toffees kilichoboreshwa kipo tayari kupambana kwa kila hali ndani ya msimu huu. Kwa upande mwingine, Bournemouth siku zote wamekua miamba migumu kila inapokutana na vilabu vikubwa vinavyotokea Uingereza. 鉅 馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥 Mambo mswano, mashabiki wanangojea mchezo unaofuata. 鉅 Beti馃槣 鉅 #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

馃槺馃槺馃槺Wooooow
鉅
 #sadiomane aliisawazishia Liverpool na kuongeza bao jingine la pili baada ya Newcastle kufanikiwa kupata bao la mapema la kuongoza.
鉅
馃敟馃敟Sadio Mane alifunga mabao mawili na Mohamed @mosalah akaongeza jingine na kuifanya Liverpool kujiwekea rekodi ya kushinda michezo 14 ya Premier League pamoja na kucheza michezo 22 bila ya kupoteza katika ligi pindi walipokutana head to head na Newcastle, wakiwa chini ya kocha Jurgen Klopp.
鉅
鈿斤笍馃挜Wawili hao walikuwa wanapata msaada mkubwa kutoka kwa Roberto Firmino, ambaye alitokea benchi nakuja kuugeuza mchezo na hatimaye wakapata ushindi wa maana.
鉅
 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-14 20:51

555 30

 

馃槺馃槺馃槺Wooooow 鉅 #sadiomane aliisawazishia Liverpool na kuongeza bao jingine la pili baada ya Newcastle kufanikiwa kupata bao la mapema la kuongoza. 鉅 馃敟馃敟Sadio Mane alifunga mabao mawili na Mohamed @mosalah akaongeza jingine na kuifanya Liverpool kujiwekea rekodi ya kushinda michezo 14 ya Premier League pamoja na kucheza michezo 22 bila ya kupoteza katika ligi pindi walipokutana head to head na Newcastle, wakiwa chini ya kocha Jurgen Klopp. 鉅 鈿斤笍馃挜Wawili hao walikuwa wanapata msaada mkubwa kutoka kwa Roberto Firmino, ambaye alitokea benchi nakuja kuugeuza mchezo na hatimaye wakapata ushindi wa maana. 鉅 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

Furahia michezo ya #laliga na Diamond & Ongeza nafasi yako ya ushindi!馃拵鈿金煉
鉅
Barcelona inaonekana kuwa dhaifu ikimkosa legend wao Messi. Nyota huyo wa Argentina bado ataendelea kuukosa mchezo mwingine dhidi ya Valencia na wana Catalonia wanapaswa wawe tayari kwani Valencia haitokubali kuziacha alama tatu ziwapite kiurahisi. 鉅
Utakuwa ni miongoni mwa mechi itakayofurahisha kwa washabiki wengi wa michuano ya Laliga.
鉅
馃嚜馃嚫鈿金焽焽糕毥馃嚜馃嚫鈿金焽焽糕毥馃嚜馃嚫鈿金焽焽糕毥馃嚜馃嚫鈿金焽焽糕毥馃嚜馃嚫鈿
鉅
 #laliga #barca #messi #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica 
 #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

2019-09-14 17:05

415 15

 

Furahia michezo ya #laliga na Diamond & Ongeza nafasi yako ya ushindi!馃拵鈿金煉 鉅 Barcelona inaonekana kuwa dhaifu ikimkosa legend wao Messi. Nyota huyo wa Argentina bado ataendelea kuukosa mchezo mwingine dhidi ya Valencia na wana Catalonia wanapaswa wawe tayari kwani Valencia haitokubali kuziacha alama tatu ziwapite kiurahisi. 鉅 Utakuwa ni miongoni mwa mechi itakayofurahisha kwa washabiki wengi wa michuano ya Laliga. 鉅 馃嚜馃嚫鈿金焽焽糕毥馃嚜馃嚫鈿金焽焽糕毥馃嚜馃嚫鈿金焽焽糕毥馃嚜馃嚫鈿金焽焽糕毥馃嚜馃嚫鈿 鉅 #laliga #barca #messi #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

鈿斤笍Baada ya #taifastars kufanikiwa kuingia hatua ya makundi ya kutafuta tiketi ya kucheza michuano ya Kombe la Dunia 2022 huko nchini Qatar, sasa ni zamu ya Klabu ya Young Africans kuonyesha unyama wao.
鉅
馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍
Young Africans ni miongoni mwa timu zilizofanikiwa kupenya raundi ya kwanza ya michuano ya #caf, ikiing鈥檕a Township Rollers ya Botswana kwa jumla ya mabao 2-1 na sasa inaenda kuchuana na Zesco United ya Zambia, siku ya Jumamosi katika dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam. 鉅
馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍
Kwa hakika mechi hii si rahisi kama tunavyofikiria, hivyo Young Africans inapaswa kuchukua tadhari kubwa pindi inapoingia kiwanjani kwa wapinzani wao Wazambia ili iweze kupata ushindi mnono, ambao utakuwa umemtengenezea mazingira mepesi kuelekea mchezo wao wa marudiano utakaopigwa huko Zambia wiki moja baadae.
鉅
鈿斤笍Mshindi wa mechi ya raundi hii atafuzu moja kwa moja katika hatua ya makundi ya ligi hiyo na endapo timu itakayoshindwa, itapata nafasi nyingine ya kusaka nafasi makundi ya kombe la Shirikisho Afrika (itacheza Play-off) na timu zilizotoboa nafasi ya kwanza ya michuano hiyo.
鉅
Beti馃槣
鉅
 #caf #taifastars #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-14 13:18

262 13

 

鈿斤笍Baada ya #taifastars kufanikiwa kuingia hatua ya makundi ya kutafuta tiketi ya kucheza michuano ya Kombe la Dunia 2022 huko nchini Qatar, sasa ni zamu ya Klabu ya Young Africans kuonyesha unyama wao. 鉅 馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍 Young Africans ni miongoni mwa timu zilizofanikiwa kupenya raundi ya kwanza ya michuano ya #caf, ikiing鈥檕a Township Rollers ya Botswana kwa jumla ya mabao 2-1 na sasa inaenda kuchuana na Zesco United ya Zambia, siku ya Jumamosi katika dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam. 鉅 馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍馃嚬馃嚳鈿斤笍 Kwa hakika mechi hii si rahisi kama tunavyofikiria, hivyo Young Africans inapaswa kuchukua tadhari kubwa pindi inapoingia kiwanjani kwa wapinzani wao Wazambia ili iweze kupata ushindi mnono, ambao utakuwa umemtengenezea mazingira mepesi kuelekea mchezo wao wa marudiano utakaopigwa huko Zambia wiki moja baadae. 鉅 鈿斤笍Mshindi wa mechi ya raundi hii atafuzu moja kwa moja katika hatua ya makundi ya ligi hiyo na endapo timu itakayoshindwa, itapata nafasi nyingine ya kusaka nafasi makundi ya kombe la Shirikisho Afrika (itacheza Play-off) na timu zilizotoboa nafasi ya kwanza ya michuano hiyo. 鉅 Beti馃槣 鉅 #caf #taifastars #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

 #ManchesterUnited watakabiliana na kibarua kigumu siku ya Jumamosi ambapo watawakaribisha Brendan Rodgers na kikosi kikali cha 'Leicester City katika dimba la Old Trafford.
鉅
鈿斤笍Wachezaji wa Ole Gunnar Solskjaer walikuwa na mwanzo mzuri baada ya kumtandika bao 4-0 Chelsea.
Mashetani wekundu hawajapata ushindi zaidi ya huo, wamepata pointi mbili tu kutoka kwenye mechi zilizofuatia dhidi ya Wolverhampton Wanderers, Crystal Palace na Southampton.
鉅
馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍
United inahitaji kupata matokeo makubwa hapa, lakini Leicester haitafanya iwe rahisi - Katika michezo minne ya awali Leicester hajafungwa hata mmoja msimu huu.
鉅
鈿斤笍Je! Mashetani wekundu watakuwa na nguvu ya kutosha bila uwepo wa baadhi ya wachezaji wao ambao ni majeruhi kama Anthony Martial, Aaron Wan-Bissaka, Paul Pogba na Eric Bailly?
Au itakuwa ngumu sana kupata alama kutoka kwa Leicester isiyotabirika?
鉅
馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍
Tutaona pamoja, marafiki, ni mchezo wa kusisimua na burudani tele.
鉅
Beti!馃槈
鉅
 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-14 10:22

462 19

 

#ManchesterUnited watakabiliana na kibarua kigumu siku ya Jumamosi ambapo watawakaribisha Brendan Rodgers na kikosi kikali cha 'Leicester City katika dimba la Old Trafford. 鉅 鈿斤笍Wachezaji wa Ole Gunnar Solskjaer walikuwa na mwanzo mzuri baada ya kumtandika bao 4-0 Chelsea. Mashetani wekundu hawajapata ushindi zaidi ya huo, wamepata pointi mbili tu kutoka kwenye mechi zilizofuatia dhidi ya Wolverhampton Wanderers, Crystal Palace na Southampton. 鉅 馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍 United inahitaji kupata matokeo makubwa hapa, lakini Leicester haitafanya iwe rahisi - Katika michezo minne ya awali Leicester hajafungwa hata mmoja msimu huu. 鉅 鈿斤笍Je! Mashetani wekundu watakuwa na nguvu ya kutosha bila uwepo wa baadhi ya wachezaji wao ambao ni majeruhi kama Anthony Martial, Aaron Wan-Bissaka, Paul Pogba na Eric Bailly Au itakuwa ngumu sana kupata alama kutoka kwa Leicester isiyotabirika 鉅 馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚞馃嚙鈿斤笍 Tutaona pamoja, marafiki, ni mchezo wa kusisimua na burudani tele. 鉅 Beti!馃槈 鉅 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

鈿金煉igi kuu barani Ulaya inarudi tena wikiendi hii, kuna mengi ya kufurahia - na hii ni miongoni yanayovutia!. Siyo ya kukosa hii!
鉅
馃憠Beti & uwe mshindi!
鉅
鈿金煉ikawaida huwa tuna uchambua mchezo uliopita kabla ya kukupa kitu kipya, lakini kwa leo hakuna mengi ya kusema. Liverpool ni miongoni mwa klabu zinazoaminiwa na kuweka dau zaidi kwa wapenzi wa kubeti.
鉅
馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥
Liverpool ilimfunga Newcastle 4-0 huko Anfield msimu uliopita. Nyakati hizi Newcastle ina kikosi bora, lakini mbaya zaidi ni Steve Bruce kuchukua nafasi ya kocha Rafa.
鉅
馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿
Jurgen Klopp atatumia mechi hii kama maandalizi ya ligi ya Mabingwa wiki inayofuata ambapo atakuwa ugenini akicheza na Napoli. Atakuwa na mchezo mwingine mgumu dhidi ya Chelsea Septemba 22. Newcastle ni miongoni mwa vilabu vyeye upinzani mkubwa. Pia Liverpool wamekuwa na safu bora ya ulinzi.
鉅
Utabiri馃槣
鉅
鈿絃iverpool watakuwa na madhumini ya kuendeleza rekodi yake ya kutofungwa mchezo wowote kwenye Premier leaguer msimu huu wakati wataikaribisha Newcastle United kwenye uwanja wao wa Anfield Jumamosi alasiri.
鉅
鈿組ajogoo hao wapo katika harakati za kutafuta kulinyakua kombe la Premier League kwani tangu mwaka 1990 hawajawahi kuchukua kombe hilo na tunatambua kwamba wataenda na silaha zote kuikabili Newcastle kwenye mechi ya raundi ya 5. Mohamed Salah amekuwa akionyesha uwezo mzuri kuanzia mwanzo wa msimu na sisi tunatabiri kwamba nyota huyu wa Misri ataisumbua safu ya ulinzi wa mpinzani wake.
鉅
鈿絅ewcastle United kwa upande wao, imekuwa ikionesha dalili za mabadiliko kwa kiasi fulani. Kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Spurs huko London, vijana wa Steve Bruce wamegawana pointi na Watford katika mechi iliyopita Lakini kutokana na namna Liverpool ilivyoanza msimu huu, wageni hao hawataweza kutoka na alama yeyote katika mchezo utakaochezwa siku ya jumamosi.

2019-09-14 06:30

443 19

 

鈿金煉igi kuu barani Ulaya inarudi tena wikiendi hii, kuna mengi ya kufurahia - na hii ni miongoni yanayovutia!. Siyo ya kukosa hii! 鉅 馃憠Beti & uwe mshindi! 鉅 鈿金煉ikawaida huwa tuna uchambua mchezo uliopita kabla ya kukupa kitu kipya, lakini kwa leo hakuna mengi ya kusema. Liverpool ni miongoni mwa klabu zinazoaminiwa na kuweka dau zaidi kwa wapenzi wa kubeti. 鉅 馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥 Liverpool ilimfunga Newcastle 4-0 huko Anfield msimu uliopita. Nyakati hizi Newcastle ina kikosi bora, lakini mbaya zaidi ni Steve Bruce kuchukua nafasi ya kocha Rafa. 鉅 馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿金焽焽р毥馃嚞馃嚙鈿 Jurgen Klopp atatumia mechi hii kama maandalizi ya ligi ya Mabingwa wiki inayofuata ambapo atakuwa ugenini akicheza na Napoli. Atakuwa na mchezo mwingine mgumu dhidi ya Chelsea Septemba 22. Newcastle ni miongoni mwa vilabu vyeye upinzani mkubwa. Pia Liverpool wamekuwa na safu bora ya ulinzi. 鉅 Utabiri馃槣 鉅 鈿絃iverpool watakuwa na madhumini ya kuendeleza rekodi yake ya kutofungwa mchezo wowote kwenye Premier leaguer msimu huu wakati wataikaribisha Newcastle United kwenye uwanja wao wa Anfield Jumamosi alasiri. 鉅 鈿組ajogoo hao wapo katika harakati za kutafuta kulinyakua kombe la Premier League kwani tangu mwaka 1990 hawajawahi kuchukua kombe hilo na tunatambua kwamba wataenda na silaha zote kuikabili Newcastle kwenye mechi ya raundi ya 5. Mohamed Salah amekuwa akionyesha uwezo mzuri kuanzia mwanzo wa msimu na sisi tunatabiri kwamba nyota huyu wa Misri ataisumbua safu ya ulinzi wa mpinzani wake. 鉅 鈿絅ewcastle United kwa upande wao, imekuwa ikionesha dalili za mabadiliko kwa kiasi fulani. Kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Spurs huko London, vijana wa Steve Bruce wamegawana pointi na Watford katika mechi iliyopita Lakini kutokana na namna Liverpool ilivyoanza msimu huu, wageni hao hawataweza kutoka na alama yeyote katika mchezo utakaochezwa siku ya jumamosi.

馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚜馃嚫鈿斤笍Je, ni mchezaji wa timu gani atakuwa wa kwanza kupachika bao katika mechi ya ufunguzi za #uefa ?
鉅
Bashiri sasa!馃槣
鉅
 #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica 
 #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

2019-09-13 14:33

642 72

 

馃嚞馃嚙鈿斤笍馃嚜馃嚫鈿斤笍Je, ni mchezaji wa timu gani atakuwa wa kwanza kupachika bao katika mechi ya ufunguzi za #uefa 鉅 Bashiri sasa!馃槣 鉅 #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

鈿斤笍Msimu uliopita Wolfsburg ilikumbwa na changamoto kadha wa kadha, lakini safari hii hawakati tamaa mapema. 鉅
馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍
Wolfsburg wana matamanio makubwa na wapo tayari kuchuana na Bayern pamoja na Borussia Dortmund katika kuwania ubingwa wa michuano ya Bundesliga. 鉅
馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍
Wakati huu, Dusseldorf wanaonyesha makucha yao waliokuwa nayo. Wenyeji kuumana na Wolfsburg ni moja ya mchezo utakaokuwa na ushindani mkubwa.
鉅
 #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica 
 #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

2019-09-13 06:11

394 81

 

鈿斤笍Msimu uliopita Wolfsburg ilikumbwa na changamoto kadha wa kadha, lakini safari hii hawakati tamaa mapema. 鉅 馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍 Wolfsburg wana matamanio makubwa na wapo tayari kuchuana na Bayern pamoja na Borussia Dortmund katika kuwania ubingwa wa michuano ya Bundesliga. 鉅 馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍馃嚛馃嚜鈿斤笍 Wakati huu, Dusseldorf wanaonyesha makucha yao waliokuwa nayo. Wenyeji kuumana na Wolfsburg ni moja ya mchezo utakaokuwa na ushindani mkubwa. 鉅 #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

UNITED STATES

Top Instagram followed

#1@therock
https://scontent-frt3-1.cdninstagram.com/vp/a51403a4a77243e83bc8c96ae75a4cff/5E3B3EFC/t51.2885-19/11850309_1674349799447611_206178162_a.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-1.cdninstagram.com therockfollowed by: 158445642
#2@kyliejenner
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/75312595_2580158292215052_3845993143115710464_n.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=MfWFAZQbOSQAX98eZCv&oh=fd4ce3d4a3843493fefa7df2fc9a7c25&oe=5E8F1B95 kyliejennerfollowed by: 157072513
#3@beyonce
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/vp/dbcde487365d6e981a5dac1def1dea14/5E6C7DE0/t51.2885-19/s150x150/65422955_2383627718588435_2523680224298663936_n.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com beyoncefollowed by: 135101080
#4@kendalljenner
https://scontent-cdt1-1.cdninstagram.com/vp/8917562e357ed8d3a0216483a6a58af0/5E2D7A1E/t51.2885-19/s150x150/69711336_428991697727826_288184896743014400_n.jpg?_nc_ht=scontent-cdt1-1.cdninstagram.com kendalljennerfollowed by: 117194082
#5@khloekardashian
https://scontent-cdt1-1.cdninstagram.com/vp/4d948f5b3c10e1cfa15a7dee96b6f6d9/5E633C2D/t51.2885-19/s150x150/67174004_2445503945685639_35051850872913920_n.jpg?_nc_ht=scontent-cdt1-1.cdninstagram.com khloekardashianfollowed by: 99093372
#6@nike
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/0907c40dafaf260f1b32547ffe5511d1/5E03F432/t51.2885-19/s150x150/26155970_1584552474997482_4541081815552622592_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com nikefollowed by: 92827237

See more instagram profiles from

UNITED STATES

MORE