wolperstylish

Get ranking button

jacqueline wolper @wolperstylish
Ranking:
# 6
Country:
    Tanzania

Wrong country?

Change country

I Know πŸ˜©πŸ™

2019-09-15 17:25

1191 46

I Know πŸ˜©πŸ™

Shikana unataka Nini πŸ˜‚ @elizabethmichaelofficial hapana hizo za @new_kajala 
Walah ushanifanya vbaya πŸ˜‚πŸ˜‚ kione hiki @george.kagwe πŸ‡°πŸ‡ͺ

2019-09-15 13:42

9736 320

Shikana unataka Nini πŸ˜‚ @elizabethmichaelofficial hapana hizo za @new_kajala Walah ushanifanya vbaya πŸ˜‚πŸ˜‚ kione hiki @george.kagwe πŸ‡°πŸ‡ͺ

Jamaica OG happy birthday mwanangu πŸ₯‚ More life More kibunda πŸ’° @dogojanjatz

2019-09-15 13:24

8023 109

Jamaica OG happy birthday mwanangu πŸ₯‚ More life More kibunda πŸ’° @dogojanjatz

Baada ya mafanikio makubwa na mwitikio wa watu zaidi ya 80 kwenye trip yetu ya siku mbili kutembelea hifadhi ya Taifa Saadani, sasa Safaris Partners inakuletea mwendelezo wa safari zake za utalii wa ndani

Msimu huu tunatembelea Magoroto Forest pamoja na mapango ya Amboni

Safari itakuwa ya siku mbili (Jumamosi ya tar 23 na jumapili ya tar 24 November)

Usikubali trip hii ikupite ambapo gharama zake Ni kama ifuatavyo;
Tsh 250,000 SINGLE
Ths 480,000 DOUBLE
Tsh 150,000 MTOTO
USD 250 NON RESIDENTS

Gharama zitahusisha 
Chakula
Kulala camping (Magoroto)
Amboni caves 
Fishing (Magoroto)
Kupanda mlima (Magoroto)
Safari ya mtumbwi 
Vivutio mbali mbali Tanga &Amboni
Usafiri kwenda na kurudi (Morogoro na Dar es salaam)
Photoshoot kwa kila mtalii

Na mambo mengine meeeengi

Kwa maelezo zaidi na kujipatia tickets yako tupigie kwa namba zifuatazo

Namba ya kuwasiliana muda wowote 
0768141516

Namba ya ofisi kupiga muda wa kazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka moja jioni
0746400407

Karibu kujihakikishia nafasi yako na tuunaruhusu malipo kidogo kidogo

Utalii wa ndani unaanza na mtanzania mwenzangu

@Safari_Partners
@Safari_Partners
@Safari_Partners
@Safari_Partners

2019-09-15 06:23

1371 53

Baada ya mafanikio makubwa na mwitikio wa watu zaidi ya 80 kwenye trip yetu ya siku mbili kutembelea hifadhi ya Taifa Saadani, sasa Safaris Partners inakuletea mwendelezo wa safari zake za utalii wa ndani Msimu huu tunatembelea Magoroto Forest pamoja na mapango ya Amboni Safari itakuwa ya siku mbili (Jumamosi ya tar 23 na jumapili ya tar 24 November) Usikubali trip hii ikupite ambapo gharama zake Ni kama ifuatavyo; Tsh 250,000 SINGLE Ths 480,000 DOUBLE Tsh 150,000 MTOTO USD 250 NON RESIDENTS Gharama zitahusisha Chakula Kulala camping (Magoroto) Amboni caves Fishing (Magoroto) Kupanda mlima (Magoroto) Safari ya mtumbwi Vivutio mbali mbali Tanga &Amboni Usafiri kwenda na kurudi (Morogoro na Dar es salaam) Photoshoot kwa kila mtalii Na mambo mengine meeeengi Kwa maelezo zaidi na kujipatia tickets yako tupigie kwa namba zifuatazo Namba ya kuwasiliana muda wowote 0768141516 Namba ya ofisi kupiga muda wa kazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka moja jioni 0746400407 Karibu kujihakikishia nafasi yako na tuunaruhusu malipo kidogo kidogo Utalii wa ndani unaanza na mtanzania mwenzangu @Safari_Partners @Safari_Partners @Safari_Partners @Safari_Partners

Happy birthday wifiDada @queenmai_wakuache Nimepata salaam zenu nyie watu wawili Naatoa MaxπŸ’― kazi Ni nzuri @petitman_wakuache @martinkadindaofficial .....
......
Happy birthday my sister Mungu akutunze cha upole enjoy ur day πŸ₯‚

2019-09-15 05:54

9498 97

Happy birthday wifiDada @queenmai_wakuache Nimepata salaam zenu nyie watu wawili Naatoa MaxπŸ’― kazi Ni nzuri @petitman_wakuache @martinkadindaofficial ..... ...... Happy birthday my sister Mungu akutunze cha upole enjoy ur day πŸ₯‚

@auntyezekiel Nisamehe Mimi fundi NjuNju wolper ndio Nimekuletea yote haya nisamehe Mimi 
Haya Nguo hizo zinauzwa sjui mtaa gani me kanionesha huyu Dada @shuusalon 😞

2019-09-15 05:18

17052 227

@auntyezekiel Nisamehe Mimi fundi NjuNju wolper ndio Nimekuletea yote haya nisamehe Mimi Haya Nguo hizo zinauzwa sjui mtaa gani me kanionesha huyu Dada @shuusalon 😞

Shishi Naona kabisa colabo yako na Minaj πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ƒ ktu ktu @officialshilole

2019-09-15 05:15

7299 174

Shishi Naona kabisa colabo yako na Minaj πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ƒ ktu ktu @officialshilole

Fundi Jacqueline wa kishua πŸ‘— @houseofstylish_tz 
 #FundiBossπŸ’°

2019-09-14 17:10

30920 468

Fundi Jacqueline wa kishua πŸ‘— @houseofstylish_tz #FundiBossπŸ’°

Brand new video  #CHOCHO from @rachel__kizunguzungu link on her bio https://youtu.be/0ff-fMfv2eY
Video directed by @khalfani_khalmandro
 #TMT

2019-09-14 09:14

4684 94

Brand new video #CHOCHO from @rachel__kizunguzungu link on her bio https://youtu.be/0ff-fMfv2eY Video directed by @khalfani_khalmandro #TMT

2019-09-14 09:14

606 30

Mwanangu ujue Me birthday yangu tarehe 6πŸ˜‚ Nitakulipa πŸ€› enjoy ur day OG @ommydimpoz Tukanyeee
 #swicher πŸ₯‚

2019-09-13 22:21

19802 285

Mwanangu ujue Me birthday yangu tarehe 6πŸ˜‚ Nitakulipa πŸ€› enjoy ur day OG @ommydimpoz Tukanyeee #swicher πŸ₯‚

Hiki kifo cha Martha kimekuja kama fundisho kwenye tasnia ya sanaa...Tunajisahau sometimes sisi wenye majina Mungu akutupa majina kama tuyatumie vibaya bali tukawe baraka pia kwa wengine,Nimekaa nimekitafakari na mimi pia nimejiona mkosefu kwasababu kuna vitu tunakosea na hatujui....sitaki kujudge kama tunakosea ila hivyo ndo jinsi nilivyotafakari mimi na akili zangu!Leo kila mtu anamjua Martha sio mbaya lakini tunaonaje tukibadilika na kutoa support iliyo ya kweli mpk mtu akajiona kabarikiwa kwa maana support tukiwa HAI...sahivi naona pages nyingi inapost vichekesho vyake hivi tungetumia mda huu kuona km ana kipaji enzi zake si angejihisi kabarikiwa zaidi kipindi yupo hai..Na mm najiita mkosefu kwasababu sijakamilika na hapa duniani tumekuja kweli kupita lakini sikuhizi napenda kutafakari kila kitu ninachokosea na natafuta kujibadilisha kwasababu hakuna mkamilifu....Mungu anatukumbusha tupendane,tumjue na tumkumbuke jamani...Kifo kimefika kwa Martha tena bado binti aliekuwa na ndoto km ww ulizokuwa nazo,aliekuwa na mtoto km wengine,anaetegemewa kama sisi,aliekuwa ana maono ya maisha yake km mimi na wewe lakini leo yuko wapi MARTHA...Hivyo kifo ni kipo na kinafanya kazi kila siku na hata iweje lazma tutimize ahadi hii ya KUFA kwasababu tulizaliwa ili tufe...Tumuombe Mungu atupe mwisho mwema na tusijisahau km kifo kimewekwa kwa ajili yetu....Ukiamka jua kumshukuru Mungu kabla ya yote kwasababu anakupa pumzi yake bure anachotaka kwetu tumtegemee yeye tuπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏMungu mpokee na MARTHA SALAMA NA UMPUMZISHE KTK PENDO LAKO HUKO πŸ–€

2019-09-13 10:33

33871 1181

TANZANIA

Top Instagram followed

#6@wolperstylish
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/d2e718de75945d5d661190b3d8ba794b/5E095B8A/t51.2885-19/s150x150/35353431_868556363331083_961233360384950272_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com wolperstylishfollowed by: 4930474
#7@juma_jux
https://scontent-cdg2-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/91124593_587738898513341_8653302298967015424_n.jpg?_nc_ht=scontent-cdg2-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=A3WDvZ6qGYMAX-8hYI7&oh=cbc6cf698c78afd11ab3e3b18a57e033&oe=5EC2349C juma_juxfollowed by: 4902690
#8@zamaradimketema
https://scontent-frx5-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/10570179_1518477991697867_235216008_a.jpg?_nc_ht=scontent-frx5-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=RJ6EODVRZtwAX--HQpP&oh=1889afb778e36a033940afebff75fd75&oe=5EFD277B zamaradimketemafollowed by: 4873451
#9@elizabethmichaelofficial
https://scontent-lht6-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/101053072_1099073237127671_7137820717751468032_n.jpg?_nc_ht=scontent-lht6-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=v0-8i8-cjT0AX_Gl_Ue&oh=40802b139074aea09697acc97115b52b&oe=5EFCDB79 elizabethmichaelofficialfollowed by: 4720172
#10@virginia
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/bd4fdb12822815a706f6c4556ec72e89/5E3CC62F/t51.2885-19/s150x150/67899779_733926590378585_2778308361169403904_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com virginiafollowed by: 4690927
#11@ireneuwoya8
https://scontent-cdg2-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/30590977_924472471046382_4899113106845728768_n.jpg?_nc_ht=scontent-cdg2-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=0JAZkJI_cOIAX9LfSFQ&oh=e5478dcaf283eb039fa4bc17bd9e1d29&oe=5EC89255 ireneuwoya8followed by: 4618179

See more instagram profiles from

TANZANIA

MORE