millardayo

Get ranking button

millard ayo @millardayo
Ranking:
# 3
Country:
    Tanzania

Wrong country?

Change country

 #Repost @cloudsfmtz Muungano wetu ndio ushindi wetu, umoja wetu ndio siri ya mafanikio ya Taifa letu! kwa pamoja tunaungana kumsherehekea Shujaa wetu aliyepambania uhuru na amani ya kizazi chetu! Miaka 48 bila Abeid Amani Karume Rais wa kwanza wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Happy Karume Day.

2020-04-07 09:03

0 37

 

#Repost @cloudsfmtz Muungano wetu ndio ushindi wetu, umoja wetu ndio siri ya mafanikio ya Taifa letu! kwa pamoja tunaungana kumsherehekea Shujaa wetu aliyepambania uhuru na amani ya kizazi chetu! Miaka 48 bila Abeid Amani Karume Rais wa kwanza wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Happy Karume Day.

diamond_fixedmatch04 (-1 min)#Wale Wapenzi Wa Kubet Walochoka Kuliwa Kwenye Kubet👂👂 #Nifolow & Niinbox Kupata Fixedmatch Odds 235 Leo 💯 #Miliki PESA Dk 90 Tu 💯 #Fixedmatch=Match Zilizonunuliwa Na Kupangiwa Matokeo Hivo Ukinunua Ticket,Beti Na Usubiri Pesa✍️✍️💯
wakufonka (-1 min)🙏🙏🙏
godbless_.tz (-1 min)Amen
kungwi_wa_kimakonde (-1 min)Rest Easy
"Afrika haiwezi kuwa uwanja wa majaribio ya chanjo ya corona, tutafuata taratibu zote kufanya majaribio ya chanjo Duniani kote iwe ni Ulaya au Afrika kwa usawa, hizi fikra za kikoloni zikome, wote ni Binadamu " - Dr. Tedros, Mkurugenzi Mkuu wa WHO 
 #MillardAyoUPDATES

2020-04-07 08:50

0 114

 

"Afrika haiwezi kuwa uwanja wa majaribio ya chanjo ya corona, tutafuata taratibu zote kufanya majaribio ya chanjo Duniani kote iwe ni Ulaya au Afrika kwa usawa, hizi fikra za kikoloni zikome, wote ni Binadamu " - Dr. Tedros, Mkurugenzi Mkuu wa WHO #MillardAyoUPDATES

mwinyi.mbegu (0 min)Uyu ndio kidume mwenye mamuz sabit
salujabal (0 min)Mi nilikuwa najiuliza nchi zao zina wagonjwa zaid ya mamilioni Africa hata mia tano hatufiki sasa iweje waje wafanyie huku wabaguz wakubwa
emanuelmg5 (-1 min)Ngoja waendelee kufaa tu sisi sio panya wa kufanyia majaribio
hapakazi_2_majungkwenu (-1 min)Waanzie hukohuko kwao SIO waanzie africa
Baada ya kuwepo malalamiko dhidi ya kauli za kibaguzi za Madaktari wa Ufaransa, Shirika la Afya duniani (WHO) limesema Afrika haitofanyiwa majaribio ya chanjo ya virusi vya corona.
•
Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dr. Tedros ambae ni Raia wa Ethiopia, amekasirishwa na kauli hiyo ya kibaguzi iliyotolewa na Madaktari wawili wa Ufaransa waliokuwa kwenye kipindi cha TV waliotaka chanjo hiyo ifanyiwe majaribio Afrika pekee.
•
Dr. Tedros amesema Afrika haiwezi na wala haitokua uwanja wa majaribio kwa chanjo yoyote “imekasirisha na kusikitisha kuona karne hii kuna Wanasayansi wanatoa maoni kama hayo ya kibaguzi, tunawahakikishia hilo halitotokea”.
•
Kabla ya kauli hii ya WHO tayari Congo DRC iliripotiwa kukubali chanjo hiyo ikaanze kufanyiwa majaribio nchini humo kitendo ambacho kilipingwa na Watu mbalimbali wakiwemo Wakongwe wa soka Samuel Eto’o na Drogba. 
 #MillardAyoUPDATES

2020-04-07 08:09

0 507

 

Baada ya kuwepo malalamiko dhidi ya kauli za kibaguzi za Madaktari wa Ufaransa, Shirika la Afya duniani (WHO) limesema Afrika haitofanyiwa majaribio ya chanjo ya virusi vya corona. • Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dr. Tedros ambae ni Raia wa Ethiopia, amekasirishwa na kauli hiyo ya kibaguzi iliyotolewa na Madaktari wawili wa Ufaransa waliokuwa kwenye kipindi cha TV waliotaka chanjo hiyo ifanyiwe majaribio Afrika pekee. • Dr. Tedros amesema Afrika haiwezi na wala haitokua uwanja wa majaribio kwa chanjo yoyote “imekasirisha na kusikitisha kuona karne hii kuna Wanasayansi wanatoa maoni kama hayo ya kibaguzi, tunawahakikishia hilo halitotokea”. • Kabla ya kauli hii ya WHO tayari Congo DRC iliripotiwa kukubali chanjo hiyo ikaanze kufanyiwa majaribio nchini humo kitendo ambacho kilipingwa na Watu mbalimbali wakiwemo Wakongwe wa soka Samuel Eto’o na Drogba. #MillardAyoUPDATES

highrights.styles (0 min)Hawa ndio watu wakuekwa ktk dunia mara paap katoeka
atupele.mwaipaja (-1 min)Chanjo inawafaa wazungu wanaopenda kushindana na mungu
teddy_paulushi (-1 min)Hao wa congo si wafunge ndoa basi ufaransa
nambea_tz (-1 min)Wakongo c mashoga tu watu wakubabaika ingekua inawezekana tungewahamisha bara maana utumwa umewajaa sana ndomana hawaachi kujichubua wapumbavu sana akina shishimbi
Idadi ya Watu waliofariki baada ya kuambukizwa corona Marekani imeendelea kupanda na kufikia vifo 11,008 asubuhi hii, Italia inaongoza ikiwa na vifo 16,578 na Hispania vifo 13,341, pia Marekani inaongoza kwa wagonjwa wa corona Duniani, leo wamefikia 368,453.
•
Takwimu za Dunia nzima asubuhi hii vifo vimefikia 74,908, wagonjwa 1,348,057 na waliopona wamefikia 286,479.
 #MillardAyoUPDATES

2020-04-07 08:04

0 236

 

Idadi ya Watu waliofariki baada ya kuambukizwa corona Marekani imeendelea kupanda na kufikia vifo 11,008 asubuhi hii, Italia inaongoza ikiwa na vifo 16,578 na Hispania vifo 13,341, pia Marekani inaongoza kwa wagonjwa wa corona Duniani, leo wamefikia 368,453. • Takwimu za Dunia nzima asubuhi hii vifo vimefikia 74,908, wagonjwa 1,348,057 na waliopona wamefikia 286,479. #MillardAyoUPDATES

mimah.suley (1 min)Hawa sasa ndio wakufanyiwa majaribio ya chanjo sio ss waafrica🙌🙌ALLAH atunusuru
raybo.y123 (0 min)@merry_hyera ped tena 😢
sir_igah (0 min)😂😂😂 @msilu99 unaona sasa wanataka kumsaidia Iran alafu wao watu wake wanakufa yaani Marekani bana
2_intosame_love (0 min)Wanaisha aiseee
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran Abbas Moussavi amesema Iran kamwe haitokubali msaada kutoka Marekani katika mapambano dhidi ya corona>> “Marekani wameomba kutusaidia sisi,inashangaza maana wao wenyewe wanahitaji msaada, Marekani ni adui yetu mkubwa, zaidi ya adui corona”
•
Marekani na Iran wamekuwa kwenye mzozo wa muda mrefu lakini vita yao ilishika kasi zaidi pale Marekani ilipomuua Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Iran, Qassem Soleimani.
 #MillardAyoUPDATES

2020-04-07 07:42

0 387

 

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran Abbas Moussavi amesema Iran kamwe haitokubali msaada kutoka Marekani katika mapambano dhidi ya corona>> “Marekani wameomba kutusaidia sisi,inashangaza maana wao wenyewe wanahitaji msaada, Marekani ni adui yetu mkubwa, zaidi ya adui corona” • Marekani na Iran wamekuwa kwenye mzozo wa muda mrefu lakini vita yao ilishika kasi zaidi pale Marekani ilipomuua Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Iran, Qassem Soleimani. #MillardAyoUPDATES

fatumamohameid (1 min)Sasa Wanataka kutoa msaada wakt wao hali mbaya ivi izi si dharau
lissah820 (1 min)Safi nyie tz c njaa
mtm_sungura (1 min)@najma_nasser Fanya mazoez then tengeneza juice ya limao na uchanganye na
ringi.ibra.79 (0 min)@musssa92 ase chukua sanitizer nakuja lipia 😂😂😂
Serikali ya China leo imetangaza kwa mara ya kwanza kutokuwa na vifo vipya vilivyosababishwa na ugonjwa wa COVID 19 tangu ulipoibuka mwishoni mwa mwaka 2019.
•
Kwenye Taifa hilo lenye Watu zaidi ya bilioni 1, vifo vilivyotokana na corona ni Watu 3,331, Wagonjwa 81,740 na waliopona ni 77,167. #MillardAyoUPDATES

2020-04-07 07:28

0 577

 

Serikali ya China leo imetangaza kwa mara ya kwanza kutokuwa na vifo vipya vilivyosababishwa na ugonjwa wa COVID 19 tangu ulipoibuka mwishoni mwa mwaka 2019. • Kwenye Taifa hilo lenye Watu zaidi ya bilioni 1, vifo vilivyotokana na corona ni Watu 3,331, Wagonjwa 81,740 na waliopona ni 77,167. #MillardAyoUPDATES

official_mrs_saidi (0 min)🙏🙏
jaggerstreetwear (0 min)🙏🙏
jaggerstreetwear (0 min)Ni follow kwa nguo kali za mtumba grade one
amiriamiri229 (0 min)Alhamdulilah, jamb jem la kumshkur M,mungu na juhud za China, njia walzo2mia sio mbay kufatwa
"Tunamuomba Waziri wa Afya, kwa kuwa wananchi wetu hawawezi kununua hizi sabuni ambazo zina alcohol 65% atamke basi wananchi kwa muda huu wa dharura wanaweza kunawia gongo ili kuzuia corona, hii sanitizer ina alcohol 65% na gongo ina alcohol 55%”_ Jumanne Kishimba, Mbunge Kahama Mjini
 #MillardAyoBUNGENI
(📹 via @ayotv_)

2020-04-07 07:27

0 374

 

"Tunamuomba Waziri wa Afya, kwa kuwa wananchi wetu hawawezi kununua hizi sabuni ambazo zina alcohol 65% atamke basi wananchi kwa muda huu wa dharura wanaweza kunawia gongo ili kuzuia corona, hii sanitizer ina alcohol 65% na gongo ina alcohol 55%”_ Jumanne Kishimba, Mbunge Kahama Mjini #MillardAyoBUNGENI (📹 via @ayotv_)

kingudiz (0 min)🔥🔥🔥🔥🔥
datnyirambachick (0 min)😂😂
mazigo.p (0 min)@yang_m mpaka iitwe spirit ndo utaona sawa kuingia nayo kanisan na msikitin eti
daudikagonji (0 min)Muheshimiwa safi mimi ntanawia.. Itakayobaki nasukutua kwenye koo....
Zari @zarithebosslady ambae ni miongoni mwa waliojifungia majumbani nchini South Africa ili kujikinga na corona amepaza sauti kuhamasisha Watu watulie majumbani kama hawana mizunguko ya lazima.
•
Kwenye live na followers wake Instagram Zari amesema anaamini kutulia na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima kutasaidia, anasema amekua akitoka mara chache kufata chakula super market na anaporudi nyumbani hulazimika kupuliza dawa vya kutosha.
•
South Africa ina Wagonjwa wa corona 1655 huku vifo vikiwa 11 mpaka sasa na wanapambana ili waweze kuwa na uwezo wa kupima Watu 30000 kwa siku. ( @ayotv_ )

2020-04-07 07:02

0 411

 

Zari @zarithebosslady ambae ni miongoni mwa waliojifungia majumbani nchini South Africa ili kujikinga na corona amepaza sauti kuhamasisha Watu watulie majumbani kama hawana mizunguko ya lazima. • Kwenye live na followers wake Instagram Zari amesema anaamini kutulia na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima kutasaidia, anasema amekua akitoka mara chache kufata chakula super market na anaporudi nyumbani hulazimika kupuliza dawa vya kutosha. • South Africa ina Wagonjwa wa corona 1655 huku vifo vikiwa 11 mpaka sasa na wanapambana ili waweze kuwa na uwezo wa kupima Watu 30000 kwa siku. ( @ayotv_ )

healthycares1.tz (1 min)@dullymusis 🔥🔥😂
zakhiarashid8 (0 min)❤️❤️
queencosmas (0 min)Shida so kukqa home kukaa mbona tutakaa tuu shida inakuja tutakufa njaa mama tee hapo nae mtu unatoka kuhangaika nanga za paa je kukaa tuu' yani majibu ya maswali yote haya anayo Mungu tuuu 😢🙏
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema wagonjwa wengine 16 wa corona wameongezeka nchini humo na kufanya idadi ya visa vya maambukizi ya corona kufikia 158>>”tuna wagonjwa wanne ambao wamepona kabisa na tunaomboleza kufuatia wagonjwa sita kufariki kwa corona Kenya”
(📹 via KTN)

2020-04-07 06:33

0 242

 

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema wagonjwa wengine 16 wa corona wameongezeka nchini humo na kufanya idadi ya visa vya maambukizi ya corona kufikia 158>>”tuna wagonjwa wanne ambao wamepona kabisa na tunaomboleza kufuatia wagonjwa sita kufariki kwa corona Kenya” (📹 via KTN)

badboylynco (12 min)@aishaelias1696 take your kids to better schools then come compare their knowledge combined with yours against mine
husnatty (11 min)😢😢
kimkardasiaan (3 min)Mungu atusaidie wote .....na tuzid kuwaombea wakenya kwa wagonjwa wanavozid kwa kasi 🙏🙏🙏🙏 Allah tuongoze kwaili
neemapetro9 (2 min)Yesu wangu tunusuru na I'll janga
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson (55) yupo kwenye chumba cha wagonjwa mahututi baada ya dalili za corona kwenye mwili wake kushika kasi zaidi, Boris alikimbizwa Hospitali ya St.Thomas, London jumapili na kisha kulazwa baada ya kuugua kwa zaidi ya siku kumi.
(📹 Reuters )

2020-04-07 06:18

0 107

 

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson (55) yupo kwenye chumba cha wagonjwa mahututi baada ya dalili za corona kwenye mwili wake kushika kasi zaidi, Boris alikimbizwa Hospitali ya St.Thomas, London jumapili na kisha kulazwa baada ya kuugua kwa zaidi ya siku kumi. (📹 Reuters )

kokolete (37 min)@salumu_chivalavala ameingia ICU kwa ushauri wa doctor just in case atahitaji ventilator lakini hayupo mahututi
holloscience (30 min)St.Thomas,Rais Nyerere hapo ndo alipoagia dunia.
mabibosweetheart (21 min)@tanzania_nchiyangu_taifalangu 😂😂😂😂😂😂
sabudivac (20 min)The Coronavirus knows no class or wealth barriers! Inakanyaga tuuu!!
Mwigizaji Funke Akindele wa Nigeria amekamatwa na Polisi baada ya kufanya house party kusherehekea birthday ya Mume wake ambapo amekamatwa baada ya video kusambaa mtandaoni ikiwaonesha wakila bata ikiwa ni kinyume na agizo la Serikali la kukwepa mikusanyiko kujikinga na corona.
•
Wawili hawa wamehukumiwa kufanya kazi za kijamii kwa siku 14 na kila mmoja kulipa faini ya Naira ambazo ni sawa na Tsh. 600000.
•
Hata hivyo Funke amerekodi video ya msamaha na kujitetea kwamba Watu wote waliokuwepo kwenye hiyo party wamekua wakiishi kwake kwa siku kadhaa wakirekodi video kwa muda hivyo hakuna alietoka nyumba nyingine kuwafata.
•
Nigeria imepiga marufuku mikusanyiko ili kujikinga na virusi vya corona ambapo hadi sasa ina Wagonjwa 232, vifo vya Watu watano na waliopona ni 33.
 #MillardAyoUPDATES

2020-04-07 05:55

0 140

 

Mwigizaji Funke Akindele wa Nigeria amekamatwa na Polisi baada ya kufanya house party kusherehekea birthday ya Mume wake ambapo amekamatwa baada ya video kusambaa mtandaoni ikiwaonesha wakila bata ikiwa ni kinyume na agizo la Serikali la kukwepa mikusanyiko kujikinga na corona. • Wawili hawa wamehukumiwa kufanya kazi za kijamii kwa siku 14 na kila mmoja kulipa faini ya Naira ambazo ni sawa na Tsh. 600000. • Hata hivyo Funke amerekodi video ya msamaha na kujitetea kwamba Watu wote waliokuwepo kwenye hiyo party wamekua wakiishi kwake kwa siku kadhaa wakirekodi video kwa muda hivyo hakuna alietoka nyumba nyingine kuwafata. • Nigeria imepiga marufuku mikusanyiko ili kujikinga na virusi vya corona ambapo hadi sasa ina Wagonjwa 232, vifo vya Watu watano na waliopona ni 33. #MillardAyoUPDATES

sha_momar (17 min)Nyumba nyengine kunaishi watu wengi. Sio wageni
leelian_msoma (7 min)@yusuphedden 🤣🤣🤣🤣🤣
may_tash (1 min)Kazi za jamii haziwapelekei kwenye hatari ya virusi tena.. au faini haitoshi
ajirampya (0 min)Je umekuwa ukiangaika kutafuta AJIRA na fursa mbalimbali Basi tupo sasa kukusogezea NAFASI ZA KAZI kila siku BUREE kabisa .. Tu follow Sasa @AjiraMpya na SHARE na uwapendao na kuwa jali Sasa @Ajirampya..
China kama Kigamboni tu Maua Sama amelithibitisha hili!! unaagiza Mizigo yako INAVUSHWA !!! chaaaap na @silent_ocean_ltd SIMBA WA BAHARI 🙌🏿🙌🏿

2020-04-07 05:37

0 20

 

China kama Kigamboni tu Maua Sama amelithibitisha hili!! unaagiza Mizigo yako INAVUSHWA !!! chaaaap na @silent_ocean_ltd SIMBA WA BAHARI 🙌🏿🙌🏿

TANZANIA

Top Instagram followed

#3@millardayo
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/3043418d2620c8d85a90e71e5e212f56/5E022200/t51.2885-19/s150x150/61698218_842042502819393_3943331885320503296_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com millardayofollowed by: 5727806
#4@jokatemwegelo
https://scontent-lht6-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/45984333_2208143099433815_5130792361575579648_n.jpg?_nc_ht=scontent-lht6-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=UfA-2nLmW4AAX-k1HTU&oh=94857bad671e62def9b060df928cb81b&oe=5E92A44E jokatemwegelofollowed by: 5674510
#5@wolperstylish
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/d2e718de75945d5d661190b3d8ba794b/5E095B8A/t51.2885-19/s150x150/35353431_868556363331083_961233360384950272_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com wolperstylishfollowed by: 4930474
#6@cloudsfmtz
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/24254166_164275047508343_2289374425268617216_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com&_nc_ohc=OvcM-LRuYMIAX_PXSIC&oh=4c03d18f06da3003a3aed36abf8ed869&oe=5E9E545C cloudsfmtzfollowed by: 4927518
#7@virginia
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/bd4fdb12822815a706f6c4556ec72e89/5E3CC62F/t51.2885-19/s150x150/67899779_733926590378585_2778308361169403904_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com virginiafollowed by: 4690927
#8@auntyezekiel
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/cf7a7c05eec6b87577e430362db67938/5DFCB9FA/t51.2885-19/s150x150/69234504_477608313018500_5355640118633824256_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com auntyezekielfollowed by: 4643450

See more instagram profiles from

TANZANIA

MORE