baba_keagan

Get ranking button

RC Dar Es Salaam @baba_keagan
Ranking:
# 202
Country:
    Tanzania

Wrong country?

Change country

Leo tunafunga dimba. Nakuomba ndg yangu utimize wajibu wako Kwa kujiandikisha.

2019-10-17 09:05

603 32

 

Leo tunafunga dimba. Nakuomba ndg yangu utimize wajibu wako Kwa kujiandikisha.

Mwanangu Hongera sana sana sana hakika wewe ni miongoni mwa vijana ninaojivunia. Sasa naona unapatikana kote na kama ulivyoniahidi kuwa ukishaanza kupatikana DSTV utakamilisha ahadi yako ya Harusi na @elizabethmichaelofficial kwani Dstv itarusha live. Hongera sana @majizzo

2019-10-16 18:11

3225 99

 

Mwanangu Hongera sana sana sana hakika wewe ni miongoni mwa vijana ninaojivunia. Sasa naona unapatikana kote na kama ulivyoniahidi kuwa ukishaanza kupatikana DSTV utakamilisha ahadi yako ya Harusi na @elizabethmichaelofficial kwani Dstv itarusha live. Hongera sana @majizzo

Kazi inaongea kuliko maneno. # tukutaNesiTE

2019-10-16 13:38

1732 66

 

Kazi inaongea kuliko maneno. # tukutaNesiTE

2019-10-15 16:08

2107 90

 
Tukutane site

2019-10-14 17:33

4985 160

 

Tukutane site

2019-10-14 10:46

6387 192

 
Kazi unaongea kuliko maneno

2019-10-14 06:03

5408 241

 

Kazi unaongea kuliko maneno

Unajua kwanini nakupenda, ni kwasababu unaithamini kazi yako. Hongera sana Kwa utowaji wa elimu

2019-10-13 19:00

1161 50

 

Unajua kwanini nakupenda, ni kwasababu unaithamini kazi yako. Hongera sana Kwa utowaji wa elimu

Twende zetu tukajiandikishe

2019-10-13 12:42

4515 163

 

Twende zetu tukajiandikishe

Ikiwa ni maelekezo kutoka Kwa Viongozi wetu wa Dini basi nasi tu tii kwa kujiandikisha

2019-10-13 12:22

1652 81

 

Ikiwa ni maelekezo kutoka Kwa Viongozi wetu wa Dini basi nasi tu tii kwa kujiandikisha

Asante sana Baba, Kwa ufafanuzi mzuri . Naomba nikuwekee na vituo Taarifa ya vituo vya uandikishaji na upigaji kura-UBUNGO*

1. *KATA YA SINZA (kuna jumla ya mitaa mi-5 na vituo 11)* *Mtaa wa SINZA "A"*
Kuna vituo viwili (2); Nice (Turubai) na Ofisi ya Mtaa. *Mtaa wa Sinza "B"* Kuna vituo viwili (2); Kituo cha mashujaa sekondari "A" na mashujaa sekondari "B" *Mtaa wa Sinza "C"* kuna vituo viwili (2); kimoja kipo Shule ya Msingi Mugabe na kingine kipo Dar international School. *Mtaa wa Sinza "D"* kuna vituo viwili; kimoja kipo Shule ya Msingi sinza na kingine kipo kwenye Ofisi ya kata. *Mtaa wa Sinza E* kuna vituo vitatu (3); cha kwanza kipo kwenye Ofisi ya Mtaa, kingine kipo eneo la Lion Hotel na kingine kipo maeneo ya transformer.

2. *KATA YA UBUNGO (kuna jumla ya mitaa mi-5 na vituo 10)* Jina la mtaa: *mtaa wa NHC*; Kuna vituo viwili (2); kimoja kipo maeneo ya shule ya sekondari Urafiki na kingine kipo kwenye shule ya Msingi Ubungo plaza. *Mtaa wa Kibo*: Mtaa huu una vituo viwili (2); kimoja kipo kwenye eneo la shule ya Msingi Rozama (private) na kingine kipo kwenye Ofisi ya Mtaa. *Mtaa wa Msewe*: Nako kuna vituo viwili (2); kimoja kipo shule ya Msingi Msewe "A" na kingine kipo shule ya Msingi Msewe "B" *Mtaa wa Kisiwani:* Kuna vituo viwili (2); kimoja kipo Ofisi ya Mtaa "A" na kingine kipo kwenye Ofisi ya Mtaa "B" *Mtaa wa Chuo Kikuu*: kuna vituo viwili (2); kimoja kipo maeneo ya chuo cha maji na kingine kipo ukumbi wa Nkurumah. *3. KATA YA SARANGA*(Kuna mitaa 9 na vituo 20)

Jina la mtaa:
*Mtaa wa Saranga*: kuna vituo viwili; kimoja kipo Ofisi ya Mtaa na kingine kipo eneo la mpakani jengo la umma. *Mtaa wa Upendo*: Kuna vituo viwili (2); kimoja kipo Ofisi ya Mtaa na kingine kipo kwenye eneo la shule ya Moa high school. *Mtaa wa kimara "B"*: Kuna vituo vitatu (3); kimoja kipo pale Ofisi ya Mtaa "A", kingine kipo shule ya Msingi kimara B na cha mwisho kipo Ofisi ya Mtaa "B" *Mtaa wa matangini*: Kuna vituo viwili (2); kimoja kipo Ofisi Mtaa "A" na kingine kipo kwenye maeneo ya shule ya Msingi ya Midland. *Mtaa wa King'ong'o: Kuna vituo viwili (2); Kituo kimoja ni kile kilichopo Ofisi ya Mtaa "A" na kingine kwenye Ofisi ya Mtaa "B". *Mta

2019-10-12 20:14

2508 63

 

Asante sana Baba, Kwa ufafanuzi mzuri . Naomba nikuwekee na vituo Taarifa ya vituo vya uandikishaji na upigaji kura-UBUNGO* 1. *KATA YA SINZA (kuna jumla ya mitaa mi-5 na vituo 11)* *Mtaa wa SINZA "A"* Kuna vituo viwili (2); Nice (Turubai) na Ofisi ya Mtaa. *Mtaa wa Sinza "B"* Kuna vituo viwili (2); Kituo cha mashujaa sekondari "A" na mashujaa sekondari "B" *Mtaa wa Sinza "C"* kuna vituo viwili (2); kimoja kipo Shule ya Msingi Mugabe na kingine kipo Dar international School. *Mtaa wa Sinza "D"* kuna vituo viwili; kimoja kipo Shule ya Msingi sinza na kingine kipo kwenye Ofisi ya kata. *Mtaa wa Sinza E* kuna vituo vitatu (3); cha kwanza kipo kwenye Ofisi ya Mtaa, kingine kipo eneo la Lion Hotel na kingine kipo maeneo ya transformer. 2. *KATA YA UBUNGO (kuna jumla ya mitaa mi-5 na vituo 10)* Jina la mtaa: *mtaa wa NHC*; Kuna vituo viwili (2); kimoja kipo maeneo ya shule ya sekondari Urafiki na kingine kipo kwenye shule ya Msingi Ubungo plaza. *Mtaa wa Kibo*: Mtaa huu una vituo viwili (2); kimoja kipo kwenye eneo la shule ya Msingi Rozama (private) na kingine kipo kwenye Ofisi ya Mtaa. *Mtaa wa Msewe*: Nako kuna vituo viwili (2); kimoja kipo shule ya Msingi Msewe "A" na kingine kipo shule ya Msingi Msewe "B" *Mtaa wa Kisiwani:* Kuna vituo viwili (2); kimoja kipo Ofisi ya Mtaa "A" na kingine kipo kwenye Ofisi ya Mtaa "B" *Mtaa wa Chuo Kikuu*: kuna vituo viwili (2); kimoja kipo maeneo ya chuo cha maji na kingine kipo ukumbi wa Nkurumah. *3. KATA YA SARANGA*(Kuna mitaa 9 na vituo 20) Jina la mtaa: *Mtaa wa Saranga*: kuna vituo viwili; kimoja kipo Ofisi ya Mtaa na kingine kipo eneo la mpakani jengo la umma. *Mtaa wa Upendo*: Kuna vituo viwili (2); kimoja kipo Ofisi ya Mtaa na kingine kipo kwenye eneo la shule ya Moa high school. *Mtaa wa kimara "B"*: Kuna vituo vitatu (3); kimoja kipo pale Ofisi ya Mtaa "A", kingine kipo shule ya Msingi kimara B na cha mwisho kipo Ofisi ya Mtaa "B" *Mtaa wa matangini*: Kuna vituo viwili (2); kimoja kipo Ofisi Mtaa "A" na kingine kipo kwenye maeneo ya shule ya Msingi ya Midland. *Mtaa wa King'ong'o: Kuna vituo viwili (2); Kituo kimoja ni kile kilichopo Ofisi ya Mtaa "A" na kingine kwenye Ofisi ya Mtaa "B". *Mta

Nimatumaini yangu kila Mtu ameona sasa umhimu wa kujiandikisha, kama ni mvua leo haipo, kama ni kazi leo ni siku ya mapumziko na kama ni majukumu mazito sizani kama Kuna Mtanzania na mkazi wa DSM anazidi Rais wetu majukumu, lakini yeye kajiandikisha nakusii ewe mwananchi usiache kutumia muda huu kwani ni mpaka baada ya miaka mitano tena ndiyo utapata haki ya kumchagua kiongozi wako wa Mtaa. Vinginevyo usilalamike Kwa chochote kitakachoendelea Mtaani kwako kuanzia mwezi ujao baada ya uchaguzi

2019-10-12 10:49

1700 59

 

Nimatumaini yangu kila Mtu ameona sasa umhimu wa kujiandikisha, kama ni mvua leo haipo, kama ni kazi leo ni siku ya mapumziko na kama ni majukumu mazito sizani kama Kuna Mtanzania na mkazi wa DSM anazidi Rais wetu majukumu, lakini yeye kajiandikisha nakusii ewe mwananchi usiache kutumia muda huu kwani ni mpaka baada ya miaka mitano tena ndiyo utapata haki ya kumchagua kiongozi wako wa Mtaa. Vinginevyo usilalamike Kwa chochote kitakachoendelea Mtaani kwako kuanzia mwezi ujao baada ya uchaguzi

TANZANIA

Top Instagram followed

#100@mohamedramadanws
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/vp/1ac90c815eb711a48a5349eeac4f7f88/5E1CB7CA/t51.2885-19/s150x150/71521235_1173259469730145_3347953988216553472_n.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com mohamedramadanwsfollowed by: 9256937
#101@diamondplatnumz
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/0ca5584b149c127a6c852ec9e22402bd/5E0EA513/t51.2885-19/s150x150/31033978_896647693856418_5154257941167079424_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com diamondplatnumzfollowed by: 7759104
#102@millardayo
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/3043418d2620c8d85a90e71e5e212f56/5E022200/t51.2885-19/s150x150/61698218_842042502819393_3943331885320503296_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com millardayofollowed by: 5727806
#103@jokatemwegelo
https://scontent-lht6-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/45984333_2208143099433815_5130792361575579648_n.jpg?_nc_ht=scontent-lht6-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=UfA-2nLmW4AAX-k1HTU&oh=94857bad671e62def9b060df928cb81b&oe=5E92A44E jokatemwegelofollowed by: 5674510
#104@wolperstylish
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/d2e718de75945d5d661190b3d8ba794b/5E095B8A/t51.2885-19/s150x150/35353431_868556363331083_961233360384950272_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com wolperstylishfollowed by: 4930474
#105@virginia
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/bd4fdb12822815a706f6c4556ec72e89/5E3CC62F/t51.2885-19/s150x150/67899779_733926590378585_2778308361169403904_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com virginiafollowed by: 4690927

See more instagram profiles from

TANZANIA

MORE