gersonmsigwa

Get ranking button

Gerson Msigwa @gersonmsigwa
Ranking:
# 464
Country:
    Tanzania

Wrong country?

Change country

Yaliyojiri wakati Mhe. Rais Magufuli alipofungua barabara ya Sumbawanga - Kanazi, kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkasi, kufungua vituo vya afya vya Mkoa wa Rukwa na kuzindua uandikishaji katika orodha ya wapiga kura ya Mamlaka za Mitaa 2019.

 #HapaKaziTu

2019-10-08 17:48

0 16

 

Yaliyojiri wakati Mhe. Rais Magufuli alipofungua barabara ya Sumbawanga - Kanazi, kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkasi, kufungua vituo vya afya vya Mkoa wa Rukwa na kuzindua uandikishaji katika orodha ya wapiga kura ya Mamlaka za Mitaa 2019. #HapaKaziTu

masak_viwanja (101 dni)TUNAKOPESHA VIWANJA VILIVYOPIMWA BIRA RIBA WALA THAMANA CHANIKA MVUTI MIL 1.5 MPAKA MIL 4 MBEZI MPIGI MAGOHE BEI MIL 5 MPAKA MIL 10 MBEZI MAKABE BEI MIL 12 MPAKA MIL 20 #EPUKANA NA MADALALI KUTANA NA MMILIKI HALALI NIKUKOPESHE VIWANJA #CONTACT #0674562909 #0782796566
masak_viwanja (101 dni)TUNAKOPESHA VIWANJA VILIVYOPIMWA BIRA RIBA WALA THAMANA CHANIKA MVUTI MIL 1.5 MPAKA MIL 4 MBEZI MPIGI MAGOHE BEI MIL 5 MPAKA MIL 10 MBEZI MAKABE BEI MIL 12 MPAKA MIL 20 #EPUKANA NA MADALALI KUTANA NA MMILIKI HALALI NIKUKOPESHE VIWANJA #CONTACT #0674562909 #0782796566
rebemarandu (101 dni)πŸ‘ŒπŸ‘Œ
calvinaudax (101 dni)Kuna typing error somewhere kwenye front page. Editors wawe makini next time

2019-10-08 07:31

0 16

 
likalahela (101 dni)Na analala nao mbele kwelπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
sabudivac (101 dni)πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½
lugusxavery (101 dni)Dkt John Joseph pombe magufuli πŸ™‹
bakhita_wonderwoman (101 dni)'na kama ni haki ya madiliko ya katiba basi waipate', asiishie kwenye haki anazozitaka yeye binafsi.
Kutoka kwa wananchi wa Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa.‬ β€ͺ #HapaKaziTu

2019-10-07 22:16

0 67

 

Kutoka kwa wananchi wa Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa.‬ β€ͺ #HapaKaziTu

fundikira8 (101 dni)@zamlock_m @ usikurupuke kumzungumzia mtu usiye mjua! ... usifikiri kila mtu ni kilaza kama wewe! Anyway, sioni hata kama kuna haja ya ku edit hivi sasa picha kuonyesha uwingi wa watu! Wewe huna TV kwako au popote Kama unayo angalia matangazo LIVE( mubashara) ya ziara ya Raisi! Au LIVE pia ni Γ©dit Ni ujinga kukataa uhalisia na ni kujidanganya mwenyewe kwamba kitu hakiko hivi kwa sababu tu hutaki kiwe hivyo! Haibadilishi hali halisi ni afadhali tu kujiandaa kisaikolojia kuikubali hali halisi! By the way, hakuna anayejali tena! Mtu akipinga au asipinge hawezi kuzuia uhalisia
gladys_gian_mk (101 dni)πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
poulmallo (101 dni)Wananchi tunaupenda sana uongozi uliopo kwa Sasa ila nyie viongozi hamtupendi kutoka moyoni
ymkimwa (101 dni)@fundikira8 Maana yangu cc huwaga tunasifia Marais kwa sura,mihemko na siyo uchapakazi
Ufunguzi wa Msikiti wa Istiqaama Bomani katika Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa.

2019-10-07 19:31

0 27

 

Ufunguzi wa Msikiti wa Istiqaama Bomani katika Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa.

kamuc_tz (102 dni)Safi sana. Viva JPM.
rebemarandu (101 dni)Huyo ndiye JPM habagui kwa misingi ya dini wananchi wote Ni wake hongera Sana kwa kuwekeza kwa Mungu zaidi.
Yaliyojiri katika ziara ya Mhe. Rais Magufuli Sumbawanga Mjini.

 #HapaKaziTu

2019-10-07 17:15

0 11

 

Yaliyojiri katika ziara ya Mhe. Rais Magufuli Sumbawanga Mjini. #HapaKaziTu

maktabatz (102 dni)Muhimu kujiwekea utaratibu wa kusoma Uchambuzi wa vitabu na makala mbalimbali kutoka kwetu wakati mwingine huenda zitakusaidia kubadili mfumo mzima wa maisha Yako kwa Elimu zaidi HAKIKISHA UNATUFOLLOW KATIKA HUU UKURASA WETU WA MAKTABA. Na Mungu atawabariki Asanteni.
frenchman.og (102 dni)Mhe. Rais nafurahishwa mkuu na kazi yakoπŸ‘ŒπŸ‘Œ yaani to the fullest
pm_josep (102 dni)Hongera jpm Nimekuona Rukwa umetema cheche HONGERA
 #TUELEWANE 
Kituo cha Afya Tunduma mambo Super.

 #HapaKaziTu

2019-10-06 21:15

0 23

 

#TUELEWANE Kituo cha Afya Tunduma mambo Super. #HapaKaziTu

rebemarandu (102 dni)Super Sana !
parachuteoriginal (102 dni)@pm_josep uwanja utajengwa Mpemba..
parachuteoriginal (102 dni)@sabbyrwazo hongereni.
parachuteoriginal (102 dni)@westonaliko sasa huoni kama zimetumika vizuri

2019-10-06 19:24

0 108

 
t.k_classic_wear (102 dni)@nayla.rashid.716 waraka au maandishi ndio kithibitisho mkuu....achana na mambo ya radio hayo
loveuselisa (101 dni)Kaz tu
faraj3401 (101 dni)Napata tabu sana kumuweka raisi wangu huyu katika nafasi stahiki nimwite Sankara, au mwanamapinduzi Gani upendo wake Kwa wananchi Na nchi umezidi kifani eh Mungu mbariki Magufuli ibariki Tanzania
chililabhombwe (101 dni)Asante Sana Mh.Rais
Kuhusu barabara ya Tunduma - Sumbawanga.

 #HapaKaziTu

2019-10-06 18:16

0 48

 

Kuhusu barabara ya Tunduma - Sumbawanga. #HapaKaziTu

rebemarandu (102 dni)Yaani JPM ataendelea kuwa juu
narudi_ccm_movement (102 dni)Tumekubali Mkuu. Tanzania juu
Yaliyojiri wakati Mhe. Rais Magufuli alipozindua barabara ya Tunduma - Sumbawanga. Na maagizo aliyoyatia.

 #HapaKaziTu

2019-10-06 17:51

0 9

 

Yaliyojiri wakati Mhe. Rais Magufuli alipozindua barabara ya Tunduma - Sumbawanga. Na maagizo aliyoyatia. #HapaKaziTu

fradegos (103 dni)Hongeraaaaaaaaa Rais wetu mpendwaaaaa
c_3111 (103 dni)πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸš₯πŸ›£πŸ› 
goodluckk2 (103 dni)Hongera sana Rais wetu kwa Kazi ngumu unayofanya hatuna cha kukulipa Bali Mungu atakupa Baraka teleehπŸ‘
mawa47 (102 dni)Hivi hiyo road mbona tangu 2014 inatumika
Wananchi wa Mkonda, Sumbawanga walivyomkaribisha Mhe. Rais Magufuli alipopita barabarani kuelekea Sumbawanga Mjini.

 #HapaKaziTu

2019-10-06 14:53

0 38

 

Wananchi wa Mkonda, Sumbawanga walivyomkaribisha Mhe. Rais Magufuli alipopita barabarani kuelekea Sumbawanga Mjini. #HapaKaziTu

salum2939 (102 dni)Huyu ni MTU wa watu.
masulurobert (102 dni)Kweli mweshumiwa rais wety
raheem_shamte (101 dni)πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
frank_kimboka (101 dni)Mama yngu alafu anaamka asbhi ,!!! Simu zinaita mwanangu nimeamka naumwa mgongoo
 #HapaKaziTu 
Kijiji cha Ndalambo, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe.

2019-10-06 08:09

0 147

 

#HapaKaziTu Kijiji cha Ndalambo, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe.

emmaa4039 (102 dni)Mambo ni moto
w_innee (102 dni)@domisiankileo duh!!!! Wewe ndio zero brains kabisaaaa . Duh vitu vingine mmuogope MUNGU. Kuwa Upinzani kusiwatoe ufahamu ipi siku mtajibu kauli zenu
bashirimahengo (102 dni)πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
ibrahimu_bahi (102 dni)Mbona hatuoni vijana. Ni wazee tu
Mhe. Rais Magufuli atoa msaada wa tani 25 za mbegu za korosho nchini Zambia na shilingi Milioni 5 kwa shule ya sekondari Nakonde nchini humo.‬
β€ͺ #HapaKaziTu

2019-10-05 18:24

0 128

 

Mhe. Rais Magufuli atoa msaada wa tani 25 za mbegu za korosho nchini Zambia na shilingi Milioni 5 kwa shule ya sekondari Nakonde nchini humo.‬ β€ͺ #HapaKaziTu

malayawabongo_ (103 dni)Nc
malayawabongo_ (103 dni)Nc
justinekilowoko (102 dni)πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
zakiacollecti (102 dni)@shamirik nikweli tumeisoma hy shule

TANZANIA

Top Instagram followed

#100@mohamedramadanws
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/vp/1ac90c815eb711a48a5349eeac4f7f88/5E1CB7CA/t51.2885-19/s150x150/71521235_1173259469730145_3347953988216553472_n.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com mohamedramadanwsfollowed by: 9256937
#101@diamondplatnumz
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/0ca5584b149c127a6c852ec9e22402bd/5E0EA513/t51.2885-19/s150x150/31033978_896647693856418_5154257941167079424_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com diamondplatnumzfollowed by: 7759104
#102@millardayo
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/3043418d2620c8d85a90e71e5e212f56/5E022200/t51.2885-19/s150x150/61698218_842042502819393_3943331885320503296_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com millardayofollowed by: 5727806
#103@jokatemwegelo
https://scontent-lht6-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/45984333_2208143099433815_5130792361575579648_n.jpg?_nc_ht=scontent-lht6-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=UfA-2nLmW4AAX-k1HTU&oh=94857bad671e62def9b060df928cb81b&oe=5E92A44E jokatemwegelofollowed by: 5674510
#104@wolperstylish
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/d2e718de75945d5d661190b3d8ba794b/5E095B8A/t51.2885-19/s150x150/35353431_868556363331083_961233360384950272_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com wolperstylishfollowed by: 4930474
#105@virginia
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/bd4fdb12822815a706f6c4556ec72e89/5E3CC62F/t51.2885-19/s150x150/67899779_733926590378585_2778308361169403904_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com virginiafollowed by: 4690927

See more instagram profiles from

TANZANIA

MORE