harrisonmwakyembe

Get ranking button

Dr. Harrison George Mwakyembe @harrisonmwakyembe
Ranking:
# 1316
Country:
    Tanzania

Wrong country?

Change country

Makete kama Ulaya vile, barafu kila sehemu. Huhitaji tena kwenda Ulaya kuiishi barafu, wewe panda Super Feo tu hadi Makete, mambo shwari!

2019-09-15 07:24

3767 274

Makete kama Ulaya vile, barafu kila sehemu. Huhitaji tena kwenda Ulaya kuiishi barafu, wewe panda Super Feo tu hadi Makete, mambo shwari!

Sauti From East, vijana wa Manzese, Dar wakitumia Kiingereza kupinga mashambulizi yanayoendelea Afrika Kusini dhidi ya Waafrika wenzao. Hawa vijana, kutokana na kipaji kikubwa cha mziki walichonacho na vibao kadhaa vya kiwango katika lugha ya Kiingereza, walipata taabu sana nchi jirani kuwaridhisha Polisi kuwa ni Watanzania na si Wamarekani! Hongera sana SAUTI FROM EAST!

2019-09-13 19:53

655 27

Furaha ya ushindi! Tumewafyeka Burundi, kama kawa “Kwa Mkapa”.

2019-09-08 17:19

4623 248

Furaha ya ushindi! Tumewafyeka Burundi, kama kawa “Kwa Mkapa”.

Leo ni leo, asiye na mwana aeleke jiwe na mcheza kwao hutuzwa! Ni hapa hapa “Kwa Mkapa” ilipolala Uganda na Cape Verde, Burundi itaponaje! Haya shime, twende zetu Uwanja wa Taifa, tukakipe nguvu ya ziada kikosi chetu cha Stars kwa kukishangilia kwa nguvu zetu zote!

2019-09-07 23:05

1801 76

Nikiupokea Mwenge wa Uhuru Kyela kutokea Busokelo Ijumaa tar.06/09/19. Mwenge wa Uhuru unatukumbusha tulikotoka na dhamira yetu baada ya kupata Uhuru.

2019-09-07 18:26

1234 47

Nikiupokea Mwenge wa Uhuru Kyela kutokea Busokelo Ijumaa tar.06/09/19. Mwenge wa Uhuru unatukumbusha tulikotoka na dhamira yetu baada ya kupata Uhuru.

Kaa mbali na kifaru, hana mazoea.

2019-09-01 17:13

1322 69

Kaa mbali na kifaru, hana mazoea.

Tembo wa kuchonga, Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA), kivutio kikubwa kwa watalii na ushahidi mzuri wa kukua kwa sanaa za ufundi (uchongaji) nchini.

2019-08-31 05:43

1333 37

Tembo wa kuchonga, Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA), kivutio kikubwa kwa watalii na ushahidi mzuri wa kukua kwa sanaa za ufundi (uchongaji) nchini.

Ndugu zangu chui si paka!

2019-08-23 14:29

1857 130

Ndugu zangu chui si paka!

2019-08-19 14:50

1027 24

Mkutano wa SADC umefanikisha mengi pamoja na kutukutanisha “class-mates” na wahitimu wa shahada ya kwanza ya sheria, Chuo Kikuu cha Dar mwaka 1983: Mwakyembe, Kabudi & Masilingi.

2019-08-19 14:34

1685 51

Mkutano wa SADC umefanikisha mengi pamoja na kutukutanisha “class-mates” na wahitimu wa shahada ya kwanza ya sheria, Chuo Kikuu cha Dar mwaka 1983: Mwakyembe, Kabudi & Masilingi.

2019-08-18 09:45

903 21

Tunajiandaa kwa kikao cha mwisho cha SADC leo Jumapili, tarehe 18/08/2019

2019-08-18 06:48

1580 20

Tunajiandaa kwa kikao cha mwisho cha SADC leo Jumapili, tarehe 18/08/2019

TANZANIA

Top Instagram followed

#100@mohamedramadanws
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/vp/1ac90c815eb711a48a5349eeac4f7f88/5E1CB7CA/t51.2885-19/s150x150/71521235_1173259469730145_3347953988216553472_n.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com mohamedramadanwsfollowed by: 9256937
#101@diamondplatnumz
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/0ca5584b149c127a6c852ec9e22402bd/5E0EA513/t51.2885-19/s150x150/31033978_896647693856418_5154257941167079424_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com diamondplatnumzfollowed by: 7759104
#102@millardayo
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/3043418d2620c8d85a90e71e5e212f56/5E022200/t51.2885-19/s150x150/61698218_842042502819393_3943331885320503296_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com millardayofollowed by: 5727806
#103@jokatemwegelo
https://scontent-lht6-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/45984333_2208143099433815_5130792361575579648_n.jpg?_nc_ht=scontent-lht6-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=UfA-2nLmW4AAX-k1HTU&oh=94857bad671e62def9b060df928cb81b&oe=5E92A44E jokatemwegelofollowed by: 5674510
#104@wolperstylish
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/d2e718de75945d5d661190b3d8ba794b/5E095B8A/t51.2885-19/s150x150/35353431_868556363331083_961233360384950272_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com wolperstylishfollowed by: 4930474
#105@virginia
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/bd4fdb12822815a706f6c4556ec72e89/5E3CC62F/t51.2885-19/s150x150/67899779_733926590378585_2778308361169403904_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com virginiafollowed by: 4690927

See more instagram profiles from

TANZANIA

MORE