millardayo

Get ranking button

millard ayo @millardayo
Ranking:
# 4
Country:
    Tanzania

Wrong country?

Change country

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) @tbc_online limekanusha habari zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwandishi wa Habari za biashara wa TBC, Gloria Michael amefariki Dunia, TBC wamesema habari hizo sio za kweli, na wameusihi umma uzipuuze.
 #MillardAyoUPDATES

2020-04-11 11:12

15613 426

 

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) @tbc_online limekanusha habari zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwandishi wa Habari za biashara wa TBC, Gloria Michael amefariki Dunia, TBC wamesema habari hizo sio za kweli, na wameusihi umma uzipuuze. #MillardAyoUPDATES

Mohamad Nurjaman na Ugi Bahri raia wa Indonesia wamefanya harusi yao ya kisayansi iliyohudhuriwa na Watu 8 tu kukwepa corona, lakini ili kuhakikisha waliotoa michango yao hawapitwi wameirusha Live mitandaoni (Youtube, IG, FB nk) na Ndugu na Marafiki wamefuatilia huko>>”wengine waige, corona isifanye harusi ziahirishwe”
•
"Imetuhuzunisha, tulipanga kuwa na wageni 500, tulitamani kuungana na Ndugu na Marafiki ukumbini ila hakuna namna, corona ni hatari na haichagui wa kumpata, zawadi, michango na pesa zilizopaswa kugharamia harusi kubwa, tutaitumia kufanya maandalizi ya kuanzia maisha mapya”
 #MillardAyoUPDATES

2020-04-11 10:46

15584 278

 

Mohamad Nurjaman na Ugi Bahri raia wa Indonesia wamefanya harusi yao ya kisayansi iliyohudhuriwa na Watu 8 tu kukwepa corona, lakini ili kuhakikisha waliotoa michango yao hawapitwi wameirusha Live mitandaoni (Youtube, IG, FB nk) na Ndugu na Marafiki wamefuatilia huko>>”wengine waige, corona isifanye harusi ziahirishwe” • "Imetuhuzunisha, tulipanga kuwa na wageni 500, tulitamani kuungana na Ndugu na Marafiki ukumbini ila hakuna namna, corona ni hatari na haichagui wa kumpata, zawadi, michango na pesa zilizopaswa kugharamia harusi kubwa, tutaitumia kufanya maandalizi ya kuanzia maisha mapya” #MillardAyoUPDATES

“Mpaka sasa taarifa za kuzusha kuhusu COVID-19 zipo katika mitandao ya kijamii, niwakumbushe tu Sheria zetu zipo na zinafanya kazi, watanzania lazima tuhakikishe tunaisaidia jamii kuondokana na huu ugonjwa, tuache kusababisha taharuki”-Dkt. Hassan Abbasi, @msemajimkuuwaserikali
• •
“Wakati tunaeleza ukweli kuhusu ugonjwa huu wa COVID-19 pia waandishi wa habari tueleze tatizo lilivyo na namna ya kuondokana na tatizo, Nchi yetu katika mapambano ya ugonjwa huu wa COVID-19 tumechukua hatua na tutaendelea kuchukua hatua kukabiliana nao”-Dkt. Hassan Abbasi
• •
“Lazima vyombo vya habari vichukue tahadhari wakati huu tukiwa kwenye majukumu yetu ya kuhabarisha umma, Idara ya Habari-MAELEZO tumetoa muongozo kwa waandishi wa habari wa namna ya kutekeleza majukumu yao, tuutumie”-Dkt. Hassan Abbasi •
•
“Tumeanza kutafakari namna tutakavyoendesha mikutano na waandishi wa habari, ikiwamo kutoa ‘Press Releases’, kurusha moja kwa moja na kusambaza ‘cleanfeed’ au kurekodi na kusambaza taarifa hiyo kwa waandishi wa habari,lengo ni kuepuka mikusanyiko”-Dkt.Hassan Abbasi 
 #MillardAyoCORONATZ

2020-04-11 09:33

16304 253

 

“Mpaka sasa taarifa za kuzusha kuhusu COVID-19 zipo katika mitandao ya kijamii, niwakumbushe tu Sheria zetu zipo na zinafanya kazi, watanzania lazima tuhakikishe tunaisaidia jamii kuondokana na huu ugonjwa, tuache kusababisha taharuki”-Dkt. Hassan Abbasi, @msemajimkuuwaserikali • • “Wakati tunaeleza ukweli kuhusu ugonjwa huu wa COVID-19 pia waandishi wa habari tueleze tatizo lilivyo na namna ya kuondokana na tatizo, Nchi yetu katika mapambano ya ugonjwa huu wa COVID-19 tumechukua hatua na tutaendelea kuchukua hatua kukabiliana nao”-Dkt. Hassan Abbasi • • “Lazima vyombo vya habari vichukue tahadhari wakati huu tukiwa kwenye majukumu yetu ya kuhabarisha umma, Idara ya Habari-MAELEZO tumetoa muongozo kwa waandishi wa habari wa namna ya kutekeleza majukumu yao, tuutumie”-Dkt. Hassan Abbasi • • “Tumeanza kutafakari namna tutakavyoendesha mikutano na waandishi wa habari, ikiwamo kutoa ‘Press Releases’, kurusha moja kwa moja na kusambaza ‘cleanfeed’ au kurekodi na kusambaza taarifa hiyo kwa waandishi wa habari,lengo ni kuepuka mikusanyiko”-Dkt.Hassan Abbasi #MillardAyoCORONATZ

“Ni uchungu mkubwa kuwapoteza Joseph Kambanga “Jenerali” (Meneja TEHAMA-TBC) na Lutengano Haonga (Mwandishi wa Habari Mwandamizi-TBC),ni mtihani mzito kwa wana familia wenzangu wa TBC, laleni salama Kaka zangu, kamwambieni Marin Hassan kuwa ARIDHIO inachanja mbuga”- Gerson Msigwa @gersonmsigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu (swipe)
 #RIPNduguZetu 🙏🏻

2020-04-11 08:54

24264 1055

 

“Ni uchungu mkubwa kuwapoteza Joseph Kambanga “Jenerali” (Meneja TEHAMA-TBC) na Lutengano Haonga (Mwandishi wa Habari Mwandamizi-TBC),ni mtihani mzito kwa wana familia wenzangu wa TBC, laleni salama Kaka zangu, kamwambieni Marin Hassan kuwa ARIDHIO inachanja mbuga”- Gerson Msigwa @gersonmsigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu (swipe) #RIPNduguZetu 🙏🏻

Takwimu asubuhi hii zinaonesha visa vya corona vimefikia 1,701,434 Duniani kote,na vifo vimeongezeka na kufikia 102,785, wamepona 376,983, Marekani ina idadi kubwa ya visa ambavyo ni 505,874 huku ikiwa na vifo 18,817, Italia inaongoza kwa vifo ikiwa na vifo 18,849.
 #MillardAyoCORONATZ
(📹 via @ayotv_)

2020-04-11 08:25

6395 226

 

Takwimu asubuhi hii zinaonesha visa vya corona vimefikia 1,701,434 Duniani kote,na vifo vimeongezeka na kufikia 102,785, wamepona 376,983, Marekani ina idadi kubwa ya visa ambavyo ni 505,874 huku ikiwa na vifo 18,817, Italia inaongoza kwa vifo ikiwa na vifo 18,849. #MillardAyoCORONATZ (📹 via @ayotv_)

Waziri Mkuu Majaliwa amekutana na Balozi wa China nchini Tanzania, Wang Ke na ameishukuru China kwa misaada ambayo imetoa katika kukabiliana na corona>> “ugonjwa China umepungua, tunawashukuru pia kwa kukaa na Watanzania wetu kule,mmewahudumia Wanafunzi wetu” •
•
“Tunaishukuru Serikali ya China kwa misaada ambayo imetupatia hadi sasa vikiwemo dawa na vifaa tiba, na leo umesema kuna asasi za kiraia na wafanyabiashara bado wanakusanya vifaa vingine ili viletwe hapa nchini vitusadie kuzuia maambukizi, tunawashukuru sana”-MAJALIWA •
•
Waziri Mkuu ametoa shukrani hizo ofisini kwake Mlimwa, Dodoma alipokutana na Balozi huyo>> “mchango wenu ni muhimu sana kwetu, kwa sababu tunaanza kupata uzoefu wa namna ya kupambana na ugonjwa huu” •
•
Majaliwa amesema Tanzania Bara na Zanzibar zinapata wagonjwa kwa sababu ni vituo vya biashara lakini wageni wote wanaoingia nchini kwa sasa wanawekwa sehemu maalumu ambako wanapatiwa huduma zote wakiwa hukohuko.

2020-04-11 07:38

8144 243

 

Waziri Mkuu Majaliwa amekutana na Balozi wa China nchini Tanzania, Wang Ke na ameishukuru China kwa misaada ambayo imetoa katika kukabiliana na corona>> “ugonjwa China umepungua, tunawashukuru pia kwa kukaa na Watanzania wetu kule,mmewahudumia Wanafunzi wetu” • • “Tunaishukuru Serikali ya China kwa misaada ambayo imetupatia hadi sasa vikiwemo dawa na vifaa tiba, na leo umesema kuna asasi za kiraia na wafanyabiashara bado wanakusanya vifaa vingine ili viletwe hapa nchini vitusadie kuzuia maambukizi, tunawashukuru sana”-MAJALIWA • • Waziri Mkuu ametoa shukrani hizo ofisini kwake Mlimwa, Dodoma alipokutana na Balozi huyo>> “mchango wenu ni muhimu sana kwetu, kwa sababu tunaanza kupata uzoefu wa namna ya kupambana na ugonjwa huu” • • Majaliwa amesema Tanzania Bara na Zanzibar zinapata wagonjwa kwa sababu ni vituo vya biashara lakini wageni wote wanaoingia nchini kwa sasa wanawekwa sehemu maalumu ambako wanapatiwa huduma zote wakiwa hukohuko.

Marekani imekuwa Nchi ya kwanza Duniani kurekodi vifo zaidi ya Elfu mbili vya wenye corona ndani ya siku moja, unaambiwa Watu 2108 wamefariki kwa corona ndani ya saa 24 na kufanya jumla ya idadi ya vifo USA kufikia 18,817 huku wagonjwa wakifikia 505,874 na waliopona ni 29,132.
 #MillardAyoUPDATES

2020-04-11 06:59

31416 1247

 

Marekani imekuwa Nchi ya kwanza Duniani kurekodi vifo zaidi ya Elfu mbili vya wenye corona ndani ya siku moja, unaambiwa Watu 2108 wamefariki kwa corona ndani ya saa 24 na kufanya jumla ya idadi ya vifo USA kufikia 18,817 huku wagonjwa wakifikia 505,874 na waliopona ni 29,132. #MillardAyoUPDATES

"Inawezekana kuna mahali Mungu tulimkosea sisi kama Dunia, tutafakari namna ya kutubu, nina imani corona itaisha, tuendelee kuchapa kazi inawezekana pakawa na tatizo kubwa sana la njaa Duniani kwasababu zipo Nchi Watu wamefungiwa hawawezi kufanya kazi"-JPM 
 #MillardAyoCORONATZ
(📹 via @ayotv_)

2020-04-11 06:16

12561 484

 

"Inawezekana kuna mahali Mungu tulimkosea sisi kama Dunia, tutafakari namna ya kutubu, nina imani corona itaisha, tuendelee kuchapa kazi inawezekana pakawa na tatizo kubwa sana la njaa Duniani kwasababu zipo Nchi Watu wamefungiwa hawawezi kufanya kazi"-JPM #MillardAyoCORONATZ (📹 via @ayotv_)

Hata ununue kiwanda China @silent_ocean_ltd watakivusha Chaaap kuja Tanzania kwa haraka na usalama 🙌🏿!!! wasiliana nao 0746813813

2020-04-11 05:56

1533 0

 

Hata ununue kiwanda China @silent_ocean_ltd watakivusha Chaaap kuja Tanzania kwa haraka na usalama 🙌🏿!!! wasiliana nao 0746813813

Msimu huu wa Pasaka GSM Mall wamewaletea mzigo mpya ndani ya maduka yetu ya Babyshop, jipatie bidhaa zilizo na ubora kwa bei nafua kabisa. @gsmmall

2020-04-11 05:09

3215 0

 

Msimu huu wa Pasaka GSM Mall wamewaletea mzigo mpya ndani ya maduka yetu ya Babyshop, jipatie bidhaa zilizo na ubora kwa bei nafua kabisa. @gsmmall

 #MillardAyoMAGAZETI April 11, 2020

2020-04-11 03:03

11704 71

 

#MillardAyoMAGAZETI April 11, 2020

Pasaka hii @sandaland_theonlyone wametoa ofa maalum ukinunua pc tatu unapewa moja bure bila malipo!! >>> 0675 500 000 mtaa wa nyamwezi na mkunguni kariakoo everything in one roof!

2020-04-10 21:34

2940 0

 

Pasaka hii @sandaland_theonlyone wametoa ofa maalum ukinunua pc tatu unapewa moja bure bila malipo!! >>> 0675 500 000 mtaa wa nyamwezi na mkunguni kariakoo everything in one roof!

TANZANIA

Top Instagram followed

#4@millardayo
https://scontent-mxp1-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/79905542_545952402656507_1861988822418456576_n.jpg?_nc_ht=scontent-mxp1-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=OTWOkDWedAkAX_cbH80&oh=5dad70a572159e846f08ba41b80a3cd4&oe=5EBCB88A millardayofollowed by: 6971382
#5@hamisamobetto
https://scontent-lht6-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/98437425_850469632111933_9203514156777472000_n.jpg?_nc_ht=scontent-lht6-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=_se92_p2R6cAX_oREmP&oh=03686f29f8241f69d5df0d5d4fddb856&oe=5EFBB3E7 hamisamobettofollowed by: 6145787
#6@jokatemwegelo
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/45984333_2208143099433815_5130792361575579648_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com&_nc_ohc=5dIPqxkHEhAAX-MgAHo&oh=6ebe5d94b36b8b12f66d036272bb841d&oe=5EBAEE32 jokatemwegelofollowed by: 6114956
#7@auntyezekiel
https://scontent-frx5-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/75330252_446354619600454_6826299885004783616_n.jpg?_nc_ht=scontent-frx5-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=EcBgYIahwKEAX9vszmV&oh=61317afd1d782f8b4ca5205b1d827506&oe=5EFFF7C3 auntyezekielfollowed by: 5795303
#8@cloudsfmtz
https://scontent-lht6-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/24254166_164275047508343_2289374425268617216_n.jpg?_nc_ht=scontent-lht6-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=xdAjIZ_h58kAX9a-rRw&oh=df0ea2d494ce31c07e10a03cd8b2c6a9&oe=5EF7C0A4 cloudsfmtzfollowed by: 5321649
#9@wolperstylish
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/d2e718de75945d5d661190b3d8ba794b/5E095B8A/t51.2885-19/s150x150/35353431_868556363331083_961233360384950272_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com wolperstylishfollowed by: 4930474

See more instagram profiles from

TANZANIA

MORE