mkubwafellatmk

Get ranking button

Saidi Fella @mkubwafellatmk
Ranking:
# 148
Country:
    Tanzania

Wrong country?

Change country

Asante kata yetu ya kilungule leo mmetisha pamoja sana CCM OYEEEEE nikisema mie ni mtu wa mwenyeziMUNGU tena napendwa na sichoki kumuomba MUNGU wadauuuu nasema hii ndio kata ya kilungulempyaaa naomba TUELEWANE mimi ndio mh said fella au @mkubwafellatmk Asante viongozi wangu wa chama changu CCM NAOMBA TUZIDI KUPENDANA maendeleo yanakuja mengi tu

2019-09-15 20:06

1297 42

Nasema sina cha kuwalipa wananchi wenzangu wa kilungule pia naona vijana wa ccm kata yetu mnakumbuka niliwambia amjakosea kunichagua @mkubwafellatmk mimi kuwa balozi wenu leo tume wasomea ilani aswa tulio yatekeleza kwa miaka 4 pia nawashukulu viongozi wangu wa kata yetu lakini pia viongozi wa vijana mkoa na wilaya lakini nashukulu ujio wako kanal RUBINGA leo umetupa elimu kubwa mie nimeshika kula bila ya kunawa ujinga #kilungulempya Asante wadau Asante mwanangu @dullamakabila

2019-09-15 19:26

1226 41

@wasafifestival19 iyooooo wadau wa IRINGA @tmkwanaumefamily iyoooooo

2019-09-15 17:55

1224 23

@wasafifestival19 iyooooo wadau wa IRINGA @tmkwanaumefamily iyoooooo

- ALL BLACK PARTY With @mbosso_ IN REDSTONE MOSHI πŸ”₯πŸ”₯ 27/09/2019 Don't Save The Date Just Save The Money Cc @arbaabmb - #

2019-09-14 22:35

2041 32

- ALL BLACK PARTY With @mbosso_ IN REDSTONE MOSHI πŸ”₯πŸ”₯ 27/09/2019 Don't Save The Date Just Save The Money Cc @arbaabmb - #

Ni vema kupenda chako inshallah watani polen ila kwao tutavuka

2019-09-14 19:18

780 21

Ni vema kupenda chako inshallah watani polen ila kwao tutavuka

Diwani wa kata ya KILUNGULE anawakaribisha wananchi na wanachama wote wa CCM wa kata ya Kilungule katika uzinduzi wa Kilungule ya kijana itakayo fanyika katika viwanja vya Kilungule mwisho siku ya tarehe 15/9/2019 siku ya Juma pili.
Kamati ya siasa ya kata ya Kilungule tunasimama na vijana wetu

2019-09-14 11:41

1248 45

Diwani wa kata ya KILUNGULE anawakaribisha wananchi na wanachama wote wa CCM wa kata ya Kilungule katika uzinduzi wa Kilungule ya kijana itakayo fanyika katika viwanja vya Kilungule mwisho siku ya tarehe 15/9/2019 siku ya Juma pili. Kamati ya siasa ya kata ya Kilungule tunasimama na vijana wetu

Wewe Hahahaha @kalitosamaki umetisha #YopeRemix #YopeChallenge nasubiri yako sasa mdau #kilungulempya tena ya kijani

2019-09-14 11:24

448 10

Wewe Hahahaha @kalitosamaki umetisha #YopeRemix #YopeChallenge nasubiri yako sasa mdau #kilungulempya tena ya kijani

Wadau anae fanya vizuri tumsapot sasa zamu ya mwanetu @amran_autoworks mdau nasema hivi Kama unataka kubadilisha muonekano wa gari lako kiujumla @amran_autoworks ndo jibu lako la uwakika ndinga linakua mpyaa kuanzia nje mpaka ndani anasrma #we_bring_back_new_car_appearance kama ujaona ona ya @lukambaofficial yπŸ˜‚πŸ˜‚ -

2019-09-14 10:28

886 15

Asante timu vijana kwa sapot Asante
Baba Akoo @jonijooo @thisisaaliyaah na Ubavu Chuma @Mtuimara , Your Cuz @iamcalypsoo & @Djkidylax Wanakiwashaa kupitia 88.9 πŸ”₯πŸ”₯
.

 #BLOCK89 #Block89WFM #HiiNiYetuSote #sanaaimezaliwaupya. Lakini pia wadau wa #wasafifestival2019 IRINGA @tmkwanaumefamily wanakuja nadhani kufulahi ni jadi kumbeeeeeee ukicheza fear sana unaonekana mpumbavu

2019-09-14 08:03

2669 37

Asante timu vijana kwa sapot Asante Baba Akoo @jonijooo @thisisaaliyaah na Ubavu Chuma @Mtuimara , Your Cuz @iamcalypsoo & @Djkidylax Wanakiwashaa kupitia 88.9 πŸ”₯πŸ”₯ . #BLOCK89 #Block89WFM #HiiNiYetuSote #sanaaimezaliwaupya. Lakini pia wadau wa #wasafifestival2019 IRINGA @tmkwanaumefamily wanakuja nadhani kufulahi ni jadi kumbeeeeeee ukicheza fear sana unaonekana mpumbavu

*WIKI YA KILUNGULE YA KIJANI YADHIDI KUFANYA MAKUBWA YA KIHISTORIA*

Leo tarehe 12/9/2019 Umoja wa vijana wa CCM kata ya Kilungule waendeleza wiki ya kijani Kwa kwenda kupanda miti katika shule ya msingi MARTINI LUMBANGA iliopo MAJIMATITU miti ya matunda pamoja na kivuli.

Katika zoezi hilo mgeni Rasmi ni mhe Diwani wa kata ya Kilungule SAIDI FELA.

Mhe Saidi Fela amesema tukio hili linaenda kutengeneza historia kubwa katika kata yetu ya Kilungule kwani wanafunzi wanaosoma katika Shule hii wataweza kupata kivuli kizuri matunda pamoja na manzari yanayo vutia

Mwisho mhe Diwani Saidi Fela amewaomba vijana wa CCM kuendelea kuwa na moyo wa uzalendo Kwa kuunga mkono shughuli za maendeleo Kwa Vitendo kwani hiyo ndio misingi sahihi ya Chama Cha Mapinduzi. Wadau nasema ivi kesho tukutane kilungule ya kijani nadhani dar yote tuivute uku kidogo jioni tukimaliza ntamwambi mh mkuu wa mkoa dar yako tunakuludishia mkuu.

2019-09-14 07:40

1747 46

*WIKI YA KILUNGULE YA KIJANI YADHIDI KUFANYA MAKUBWA YA KIHISTORIA* Leo tarehe 12/9/2019 Umoja wa vijana wa CCM kata ya Kilungule waendeleza wiki ya kijani Kwa kwenda kupanda miti katika shule ya msingi MARTINI LUMBANGA iliopo MAJIMATITU miti ya matunda pamoja na kivuli. Katika zoezi hilo mgeni Rasmi ni mhe Diwani wa kata ya Kilungule SAIDI FELA. Mhe Saidi Fela amesema tukio hili linaenda kutengeneza historia kubwa katika kata yetu ya Kilungule kwani wanafunzi wanaosoma katika Shule hii wataweza kupata kivuli kizuri matunda pamoja na manzari yanayo vutia Mwisho mhe Diwani Saidi Fela amewaomba vijana wa CCM kuendelea kuwa na moyo wa uzalendo Kwa kuunga mkono shughuli za maendeleo Kwa Vitendo kwani hiyo ndio misingi sahihi ya Chama Cha Mapinduzi. Wadau nasema ivi kesho tukutane kilungule ya kijani nadhani dar yote tuivute uku kidogo jioni tukimaliza ntamwambi mh mkuu wa mkoa dar yako tunakuludishia mkuu.

Karibuni wadau katani kwetu jumapili kilungule ya kijani

2019-09-13 17:23

428 11

Karibuni wadau katani kwetu jumapili kilungule ya kijani

Asante iyooooo chiiiiiiii

2019-09-13 16:13

982 23

Asante iyooooo chiiiiiiii

TANZANIA

Top Instagram followed

#100@mohamedramadanws
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/vp/1ac90c815eb711a48a5349eeac4f7f88/5E1CB7CA/t51.2885-19/s150x150/71521235_1173259469730145_3347953988216553472_n.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com mohamedramadanwsfollowed by: 9256937
#101@diamondplatnumz
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/0ca5584b149c127a6c852ec9e22402bd/5E0EA513/t51.2885-19/s150x150/31033978_896647693856418_5154257941167079424_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com diamondplatnumzfollowed by: 7759104
#102@millardayo
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/3043418d2620c8d85a90e71e5e212f56/5E022200/t51.2885-19/s150x150/61698218_842042502819393_3943331885320503296_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com millardayofollowed by: 5727806
#103@jokatemwegelo
https://scontent-lht6-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/45984333_2208143099433815_5130792361575579648_n.jpg?_nc_ht=scontent-lht6-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=UfA-2nLmW4AAX-k1HTU&oh=94857bad671e62def9b060df928cb81b&oe=5E92A44E jokatemwegelofollowed by: 5674510
#104@wolperstylish
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/d2e718de75945d5d661190b3d8ba794b/5E095B8A/t51.2885-19/s150x150/35353431_868556363331083_961233360384950272_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com wolperstylishfollowed by: 4930474
#105@virginia
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/bd4fdb12822815a706f6c4556ec72e89/5E3CC62F/t51.2885-19/s150x150/67899779_733926590378585_2778308361169403904_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com virginiafollowed by: 4690927

See more instagram profiles from

TANZANIA

MORE