parimatch.co.tz

Get ranking button

Parimatch Tanzania @parimatch.co.tz

Add country

⚽Licha ya kukosa pointi katika raundi za awali, Aston Villa bado wanataka kuonyesha kuwa wanastahili kucheza ligi kuu ya Uingereza msimu huu. ⠀
🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽
Kwa morali waliyokuwa nayo wachezaji wa West Ham sasa wanaenda kupimishana misuli na Villans. ⠀
😱Je! Aston Villa inaweza kuonyesha perfomance yao bora kwa mashabiki watakao kuwa wanawatazama wakicheza katika dimba lao la nyumbani, au wachezaji wa kocha Manuel Pellegrini watautawala mchezo huo?
⠀
 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-16 06:56

137 6

 

⚽Licha ya kukosa pointi katika raundi za awali, Aston Villa bado wanataka kuonyesha kuwa wanastahili kucheza ligi kuu ya Uingereza msimu huu. ⠀ 🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽ Kwa morali waliyokuwa nayo wachezaji wa West Ham sasa wanaenda kupimishana misuli na Villans. ⠀ 😱Je! Aston Villa inaweza kuonyesha perfomance yao bora kwa mashabiki watakao kuwa wanawatazama wakicheza katika dimba lao la nyumbani, au wachezaji wa kocha Manuel Pellegrini watautawala mchezo huo ⠀ #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

😱😱FULL TIME: Norwich City 3-2 Manchester City
⠀
Nope! 🔥Norwich City wamewafunga mabingwa watetezi!
⠀
⚽️Ni dhahiri kusema kwamba hakuna aliyetarajia kutokea hili. Lakini Norwich City walistahili kupata pointi 3 kwa hakika.
⠀
⚽️Norwich City iliopanda daraja na kujiunga na ligi kuu ya Uingereza imeweka historia baada ya kuwachakaza mabingwa watetezi wa ligi hiyo #mancity ⠀
⚽️Canaries waliwakosa wachezaji wake wanane kutokana na kuwa majeruhi lakini walitumia fursa hiyo kucheza kwa uangalifu na mabingwa watetezi ambao hawakuwa waangalifu katika safu ya ulinzi.
⠀
⚽️Kwa mara nyingine tena nyota mpya wa #premierleague Pukki amefanikiwa kutingisha nyavu za wapinzani wake.
⠀
 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-15 17:10

387 5

 

😱😱FULL TIME: Norwich City 3-2 Manchester City ⠀ Nope! 🔥Norwich City wamewafunga mabingwa watetezi! ⠀ ⚽️Ni dhahiri kusema kwamba hakuna aliyetarajia kutokea hili. Lakini Norwich City walistahili kupata pointi 3 kwa hakika. ⠀ ⚽️Norwich City iliopanda daraja na kujiunga na ligi kuu ya Uingereza imeweka historia baada ya kuwachakaza mabingwa watetezi wa ligi hiyo #mancity ⠀ ⚽️Canaries waliwakosa wachezaji wake wanane kutokana na kuwa majeruhi lakini walitumia fursa hiyo kucheza kwa uangalifu na mabingwa watetezi ambao hawakuwa waangalifu katika safu ya ulinzi. ⠀ ⚽️Kwa mara nyingine tena nyota mpya wa #premierleague Pukki amefanikiwa kutingisha nyavu za wapinzani wake. ⠀ #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

 #VPL⠀
Michezo ya ligi kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi leo katika viwanja tofauti tofauti majira ya saa 10:00 jioni, Je unadhani ni nani ataweza kuondoka na alama tatu?
🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️
⠀
 #caf #taifastars #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-15 14:05

371 8

 

#VPL⠀ Michezo ya ligi kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi leo katika viwanja tofauti tofauti majira ya saa 10:00 jioni, Je unadhani ni nani ataweza kuondoka na alama tatu 🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️ ⠀ #caf #taifastars #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

⚽💥Mchezo huu kwa Arsenal ni wa lazima kushinda ili iweze kukaa na timu zinazopambania nafasi nne za juu katika msimamo. Watford walikuwa wazuri kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA msimu uliopita na itakuwa sio mechi rahisi kwa Arsenal japo mtanange unatazamiwa kuwa na mabao mengi.

Tazama michezo yote 👉www.parimatch.co.tz na bila ya kusahau kuweka mkeka wako kwa kutumia 📲App yetu ya kijanja! ⚽⚽Watford

Utabiri wa kikosi (4-2-2-2): Foster; Janmaat, Cathcart, Mariappa, Masina; Doucoure, Kapoue; Hughes, Pereyra; Deulofeu, Deeney

Watakao kosa mchezo kutokana na kuwa majeruhi: Cleverley, Penaranda, Domingos Quina, Holebas hawa wote ni majeruhi.

Asilimia chache za kucheza: Success, Deulofeu, Kiko Femenia ⚽⚽ARSENAL

Utabiri wa kikosi (3-4-2-1): Leno; Koscielny, Mustafi, Monreal; Maitland-Niles, Guendouzi, Ramsey, Kolasinac; Mkhitaryan, Ozil; Lacazette

Watakao kosa mchezo kutokana na kuwa majeruhi: Welbeck, Holding, Bellerin huku Sokratis akiwa pekee amesimamishwa

Asilimia chache za kucheza: Xhaka

2019-09-15 13:21

201 9

 

⚽💥Mchezo huu kwa Arsenal ni wa lazima kushinda ili iweze kukaa na timu zinazopambania nafasi nne za juu katika msimamo. Watford walikuwa wazuri kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA msimu uliopita na itakuwa sio mechi rahisi kwa Arsenal japo mtanange unatazamiwa kuwa na mabao mengi. Tazama michezo yote 👉www.parimatch.co.tz na bila ya kusahau kuweka mkeka wako kwa kutumia 📲App yetu ya kijanja! ⚽⚽Watford Utabiri wa kikosi (4-2-2-2): Foster; Janmaat, Cathcart, Mariappa, Masina; Doucoure, Kapoue; Hughes, Pereyra; Deulofeu, Deeney Watakao kosa mchezo kutokana na kuwa majeruhi: Cleverley, Penaranda, Domingos Quina, Holebas hawa wote ni majeruhi. Asilimia chache za kucheza: Success, Deulofeu, Kiko Femenia ⚽⚽ARSENAL Utabiri wa kikosi (3-4-2-1): Leno; Koscielny, Mustafi, Monreal; Maitland-Niles, Guendouzi, Ramsey, Kolasinac; Mkhitaryan, Ozil; Lacazette Watakao kosa mchezo kutokana na kuwa majeruhi: Welbeck, Holding, Bellerin huku Sokratis akiwa pekee amesimamishwa Asilimia chache za kucheza: Xhaka

Pata msisimko wa kweli wa soka😜
⠀
🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽
Licha ya kuwa Bournemouth imeshikilia nafasi ya 15 katika msimamo wa #epl lakini ipo nyuma kwa alama tatu tu kwa Everton. ⠀
Kikosi cha Toffees kilichoboreshwa kipo tayari kupambana kwa kila hali ndani ya msimu huu. Kwa upande mwingine, Bournemouth siku zote wamekua miamba migumu kila inapokutana na vilabu vikubwa vinavyotokea Uingereza. ⠀
🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽
Mambo mswano, mashabiki wanangojea mchezo unaofuata.
⠀
Beti😜
⠀
 #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-15 07:00

280 9

 

Pata msisimko wa kweli wa soka😜 ⠀ 🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽ Licha ya kuwa Bournemouth imeshikilia nafasi ya 15 katika msimamo wa #epl lakini ipo nyuma kwa alama tatu tu kwa Everton. ⠀ Kikosi cha Toffees kilichoboreshwa kipo tayari kupambana kwa kila hali ndani ya msimu huu. Kwa upande mwingine, Bournemouth siku zote wamekua miamba migumu kila inapokutana na vilabu vikubwa vinavyotokea Uingereza. ⠀ 🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽ Mambo mswano, mashabiki wanangojea mchezo unaofuata. ⠀ Beti😜 ⠀ #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

😱😱😱Wooooow
⠀
 #sadiomane aliisawazishia Liverpool na kuongeza bao jingine la pili baada ya Newcastle kufanikiwa kupata bao la mapema la kuongoza.
⠀
🔥🔥Sadio Mane alifunga mabao mawili na Mohamed @mosalah akaongeza jingine na kuifanya Liverpool kujiwekea rekodi ya kushinda michezo 14 ya Premier League pamoja na kucheza michezo 22 bila ya kupoteza katika ligi pindi walipokutana head to head na Newcastle, wakiwa chini ya kocha Jurgen Klopp.
⠀
⚽️💥Wawili hao walikuwa wanapata msaada mkubwa kutoka kwa Roberto Firmino, ambaye alitokea benchi nakuja kuugeuza mchezo na hatimaye wakapata ushindi wa maana.
⠀
 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-14 20:51

555 30

 

😱😱😱Wooooow ⠀ #sadiomane aliisawazishia Liverpool na kuongeza bao jingine la pili baada ya Newcastle kufanikiwa kupata bao la mapema la kuongoza. ⠀ 🔥🔥Sadio Mane alifunga mabao mawili na Mohamed @mosalah akaongeza jingine na kuifanya Liverpool kujiwekea rekodi ya kushinda michezo 14 ya Premier League pamoja na kucheza michezo 22 bila ya kupoteza katika ligi pindi walipokutana head to head na Newcastle, wakiwa chini ya kocha Jurgen Klopp. ⠀ ⚽️💥Wawili hao walikuwa wanapata msaada mkubwa kutoka kwa Roberto Firmino, ambaye alitokea benchi nakuja kuugeuza mchezo na hatimaye wakapata ushindi wa maana. ⠀ #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

Furahia michezo ya #laliga na Diamond & Ongeza nafasi yako ya ushindi!💎⚽💎
⠀
Barcelona inaonekana kuwa dhaifu ikimkosa legend wao Messi. Nyota huyo wa Argentina bado ataendelea kuukosa mchezo mwingine dhidi ya Valencia na wana Catalonia wanapaswa wawe tayari kwani Valencia haitokubali kuziacha alama tatu ziwapite kiurahisi. ⠀
Utakuwa ni miongoni mwa mechi itakayofurahisha kwa washabiki wengi wa michuano ya Laliga.
⠀
🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽
⠀
 #laliga #barca #messi #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica 
 #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

2019-09-14 17:05

415 15

 

Furahia michezo ya #laliga na Diamond & Ongeza nafasi yako ya ushindi!💎⚽💎 ⠀ Barcelona inaonekana kuwa dhaifu ikimkosa legend wao Messi. Nyota huyo wa Argentina bado ataendelea kuukosa mchezo mwingine dhidi ya Valencia na wana Catalonia wanapaswa wawe tayari kwani Valencia haitokubali kuziacha alama tatu ziwapite kiurahisi. ⠀ Utakuwa ni miongoni mwa mechi itakayofurahisha kwa washabiki wengi wa michuano ya Laliga. ⠀ 🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽🇪🇸⚽ ⠀ #laliga #barca #messi #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

⚽️Baada ya #taifastars kufanikiwa kuingia hatua ya makundi ya kutafuta tiketi ya kucheza michuano ya Kombe la Dunia 2022 huko nchini Qatar, sasa ni zamu ya Klabu ya Young Africans kuonyesha unyama wao.
⠀
🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️
Young Africans ni miongoni mwa timu zilizofanikiwa kupenya raundi ya kwanza ya michuano ya #caf, ikiing’oa Township Rollers ya Botswana kwa jumla ya mabao 2-1 na sasa inaenda kuchuana na Zesco United ya Zambia, siku ya Jumamosi katika dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam. ⠀
🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️
Kwa hakika mechi hii si rahisi kama tunavyofikiria, hivyo Young Africans inapaswa kuchukua tadhari kubwa pindi inapoingia kiwanjani kwa wapinzani wao Wazambia ili iweze kupata ushindi mnono, ambao utakuwa umemtengenezea mazingira mepesi kuelekea mchezo wao wa marudiano utakaopigwa huko Zambia wiki moja baadae.
⠀
⚽️Mshindi wa mechi ya raundi hii atafuzu moja kwa moja katika hatua ya makundi ya ligi hiyo na endapo timu itakayoshindwa, itapata nafasi nyingine ya kusaka nafasi makundi ya kombe la Shirikisho Afrika (itacheza Play-off) na timu zilizotoboa nafasi ya kwanza ya michuano hiyo.
⠀
Beti😜
⠀
 #caf #taifastars #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-14 13:18

262 13

 

⚽️Baada ya #taifastars kufanikiwa kuingia hatua ya makundi ya kutafuta tiketi ya kucheza michuano ya Kombe la Dunia 2022 huko nchini Qatar, sasa ni zamu ya Klabu ya Young Africans kuonyesha unyama wao. ⠀ 🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️ Young Africans ni miongoni mwa timu zilizofanikiwa kupenya raundi ya kwanza ya michuano ya #caf, ikiing’oa Township Rollers ya Botswana kwa jumla ya mabao 2-1 na sasa inaenda kuchuana na Zesco United ya Zambia, siku ya Jumamosi katika dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam. ⠀ 🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️🇹🇿⚽️ Kwa hakika mechi hii si rahisi kama tunavyofikiria, hivyo Young Africans inapaswa kuchukua tadhari kubwa pindi inapoingia kiwanjani kwa wapinzani wao Wazambia ili iweze kupata ushindi mnono, ambao utakuwa umemtengenezea mazingira mepesi kuelekea mchezo wao wa marudiano utakaopigwa huko Zambia wiki moja baadae. ⠀ ⚽️Mshindi wa mechi ya raundi hii atafuzu moja kwa moja katika hatua ya makundi ya ligi hiyo na endapo timu itakayoshindwa, itapata nafasi nyingine ya kusaka nafasi makundi ya kombe la Shirikisho Afrika (itacheza Play-off) na timu zilizotoboa nafasi ya kwanza ya michuano hiyo. ⠀ Beti😜 ⠀ #caf #taifastars #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

 #ManchesterUnited watakabiliana na kibarua kigumu siku ya Jumamosi ambapo watawakaribisha Brendan Rodgers na kikosi kikali cha 'Leicester City katika dimba la Old Trafford.
⠀
⚽️Wachezaji wa Ole Gunnar Solskjaer walikuwa na mwanzo mzuri baada ya kumtandika bao 4-0 Chelsea.
Mashetani wekundu hawajapata ushindi zaidi ya huo, wamepata pointi mbili tu kutoka kwenye mechi zilizofuatia dhidi ya Wolverhampton Wanderers, Crystal Palace na Southampton.
⠀
🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️
United inahitaji kupata matokeo makubwa hapa, lakini Leicester haitafanya iwe rahisi - Katika michezo minne ya awali Leicester hajafungwa hata mmoja msimu huu.
⠀
⚽️Je! Mashetani wekundu watakuwa na nguvu ya kutosha bila uwepo wa baadhi ya wachezaji wao ambao ni majeruhi kama Anthony Martial, Aaron Wan-Bissaka, Paul Pogba na Eric Bailly?
Au itakuwa ngumu sana kupata alama kutoka kwa Leicester isiyotabirika?
⠀
🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️
Tutaona pamoja, marafiki, ni mchezo wa kusisimua na burudani tele.
⠀
Beti!😉
⠀
 #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

2019-09-14 10:22

462 19

 

#ManchesterUnited watakabiliana na kibarua kigumu siku ya Jumamosi ambapo watawakaribisha Brendan Rodgers na kikosi kikali cha 'Leicester City katika dimba la Old Trafford. ⠀ ⚽️Wachezaji wa Ole Gunnar Solskjaer walikuwa na mwanzo mzuri baada ya kumtandika bao 4-0 Chelsea. Mashetani wekundu hawajapata ushindi zaidi ya huo, wamepata pointi mbili tu kutoka kwenye mechi zilizofuatia dhidi ya Wolverhampton Wanderers, Crystal Palace na Southampton. ⠀ 🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️ United inahitaji kupata matokeo makubwa hapa, lakini Leicester haitafanya iwe rahisi - Katika michezo minne ya awali Leicester hajafungwa hata mmoja msimu huu. ⠀ ⚽️Je! Mashetani wekundu watakuwa na nguvu ya kutosha bila uwepo wa baadhi ya wachezaji wao ambao ni majeruhi kama Anthony Martial, Aaron Wan-Bissaka, Paul Pogba na Eric Bailly Au itakuwa ngumu sana kupata alama kutoka kwa Leicester isiyotabirika ⠀ 🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️🇬🇧⚽️ Tutaona pamoja, marafiki, ni mchezo wa kusisimua na burudani tele. ⠀ Beti!😉 ⠀ #epl #englishpremierleague #mosalah #klopp #guardiola #sadiomane #football #fun #entertainment #virgil #mancity #liverpool #kane #moura #mahrez #tottenham #trophy #bruyne #parimatchtanzania #parimatchtz #bettingexpert #bettingtips

⚽💥Ligi kuu barani Ulaya inarudi tena wikiendi hii, kuna mengi ya kufurahia - na hii ni miongoni yanayovutia!. Siyo ya kukosa hii!
⠀
👉Beti & uwe mshindi!
⠀
⚽💥Kikawaida huwa tuna uchambua mchezo uliopita kabla ya kukupa kitu kipya, lakini kwa leo hakuna mengi ya kusema. Liverpool ni miongoni mwa klabu zinazoaminiwa na kuweka dau zaidi kwa wapenzi wa kubeti.
⠀
🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽
Liverpool ilimfunga Newcastle 4-0 huko Anfield msimu uliopita. Nyakati hizi Newcastle ina kikosi bora, lakini mbaya zaidi ni Steve Bruce kuchukua nafasi ya kocha Rafa.
⠀
🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽
Jurgen Klopp atatumia mechi hii kama maandalizi ya ligi ya Mabingwa wiki inayofuata ambapo atakuwa ugenini akicheza na Napoli. Atakuwa na mchezo mwingine mgumu dhidi ya Chelsea Septemba 22. Newcastle ni miongoni mwa vilabu vyeye upinzani mkubwa. Pia Liverpool wamekuwa na safu bora ya ulinzi.
⠀
Utabiri😜
⠀
⚽Liverpool watakuwa na madhumini ya kuendeleza rekodi yake ya kutofungwa mchezo wowote kwenye Premier leaguer msimu huu wakati wataikaribisha Newcastle United kwenye uwanja wao wa Anfield Jumamosi alasiri.
⠀
⚽Majogoo hao wapo katika harakati za kutafuta kulinyakua kombe la Premier League kwani tangu mwaka 1990 hawajawahi kuchukua kombe hilo na tunatambua kwamba wataenda na silaha zote kuikabili Newcastle kwenye mechi ya raundi ya 5. Mohamed Salah amekuwa akionyesha uwezo mzuri kuanzia mwanzo wa msimu na sisi tunatabiri kwamba nyota huyu wa Misri ataisumbua safu ya ulinzi wa mpinzani wake.
⠀
⚽Newcastle United kwa upande wao, imekuwa ikionesha dalili za mabadiliko kwa kiasi fulani. Kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Spurs huko London, vijana wa Steve Bruce wamegawana pointi na Watford katika mechi iliyopita Lakini kutokana na namna Liverpool ilivyoanza msimu huu, wageni hao hawataweza kutoka na alama yeyote katika mchezo utakaochezwa siku ya jumamosi.

2019-09-14 06:30

443 19

 

⚽💥Ligi kuu barani Ulaya inarudi tena wikiendi hii, kuna mengi ya kufurahia - na hii ni miongoni yanayovutia!. Siyo ya kukosa hii! ⠀ 👉Beti & uwe mshindi! ⠀ ⚽💥Kikawaida huwa tuna uchambua mchezo uliopita kabla ya kukupa kitu kipya, lakini kwa leo hakuna mengi ya kusema. Liverpool ni miongoni mwa klabu zinazoaminiwa na kuweka dau zaidi kwa wapenzi wa kubeti. ⠀ 🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽ Liverpool ilimfunga Newcastle 4-0 huko Anfield msimu uliopita. Nyakati hizi Newcastle ina kikosi bora, lakini mbaya zaidi ni Steve Bruce kuchukua nafasi ya kocha Rafa. ⠀ 🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽🇬🇧⚽ Jurgen Klopp atatumia mechi hii kama maandalizi ya ligi ya Mabingwa wiki inayofuata ambapo atakuwa ugenini akicheza na Napoli. Atakuwa na mchezo mwingine mgumu dhidi ya Chelsea Septemba 22. Newcastle ni miongoni mwa vilabu vyeye upinzani mkubwa. Pia Liverpool wamekuwa na safu bora ya ulinzi. ⠀ Utabiri😜 ⠀ ⚽Liverpool watakuwa na madhumini ya kuendeleza rekodi yake ya kutofungwa mchezo wowote kwenye Premier leaguer msimu huu wakati wataikaribisha Newcastle United kwenye uwanja wao wa Anfield Jumamosi alasiri. ⠀ ⚽Majogoo hao wapo katika harakati za kutafuta kulinyakua kombe la Premier League kwani tangu mwaka 1990 hawajawahi kuchukua kombe hilo na tunatambua kwamba wataenda na silaha zote kuikabili Newcastle kwenye mechi ya raundi ya 5. Mohamed Salah amekuwa akionyesha uwezo mzuri kuanzia mwanzo wa msimu na sisi tunatabiri kwamba nyota huyu wa Misri ataisumbua safu ya ulinzi wa mpinzani wake. ⠀ ⚽Newcastle United kwa upande wao, imekuwa ikionesha dalili za mabadiliko kwa kiasi fulani. Kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Spurs huko London, vijana wa Steve Bruce wamegawana pointi na Watford katika mechi iliyopita Lakini kutokana na namna Liverpool ilivyoanza msimu huu, wageni hao hawataweza kutoka na alama yeyote katika mchezo utakaochezwa siku ya jumamosi.

🇬🇧⚽️🇪🇸⚽️Je, ni mchezaji wa timu gani atakuwa wa kwanza kupachika bao katika mechi ya ufunguzi za #uefa ?
⠀
Bashiri sasa!😜
⠀
 #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica 
 #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

2019-09-13 14:33

642 72

 

🇬🇧⚽️🇪🇸⚽️Je, ni mchezaji wa timu gani atakuwa wa kwanza kupachika bao katika mechi ya ufunguzi za #uefa ⠀ Bashiri sasa!😜 ⠀ #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

⚽️Msimu uliopita Wolfsburg ilikumbwa na changamoto kadha wa kadha, lakini safari hii hawakati tamaa mapema. ⠀
🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️
Wolfsburg wana matamanio makubwa na wapo tayari kuchuana na Bayern pamoja na Borussia Dortmund katika kuwania ubingwa wa michuano ya Bundesliga. ⠀
🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️
Wakati huu, Dusseldorf wanaonyesha makucha yao waliokuwa nayo. Wenyeji kuumana na Wolfsburg ni moja ya mchezo utakaokuwa na ushindani mkubwa.
⠀
 #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica 
 #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

2019-09-13 06:11

394 81

 

⚽️Msimu uliopita Wolfsburg ilikumbwa na changamoto kadha wa kadha, lakini safari hii hawakati tamaa mapema. ⠀ 🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️ Wolfsburg wana matamanio makubwa na wapo tayari kuchuana na Bayern pamoja na Borussia Dortmund katika kuwania ubingwa wa michuano ya Bundesliga. ⠀ 🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️🇩🇪⚽️ Wakati huu, Dusseldorf wanaonyesha makucha yao waliokuwa nayo. Wenyeji kuumana na Wolfsburg ni moja ya mchezo utakaokuwa na ushindani mkubwa. ⠀ #juventus #championscup #inter #championsleague #epl #premierleague #ronaldo #manunited #mu #realmadrid #tottenham #benfica #parimatchtz #bettingexpert #parimatchtanzania #bettingtips #football #footballfans #soccer

UNITED STATES

Top Instagram followed

#1@therock
https://scontent-bru2-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/11850309_1674349799447611_206178162_a.jpg?_nc_ht=scontent-bru2-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=OZNkQMv-4ZkAX_5R014&oh=163773f4c99d49b3a6c58eb5219e6c87&oe=5EBB5084 therockfollowed by: 178160770
#2@beyonce
https://scontent-cdg2-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/79947869_561915631325627_1697526832368189440_n.jpg?_nc_ht=scontent-cdg2-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=z7sRQCHxvgoAX_ggxs8&oh=f59af6d06bb8fa560c2c148ea0e55b01&oe=5EFE3832 beyoncefollowed by: 147234512
#3@natgeo
https://scontent-lht6-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/95140556_594026277870211_4156802974091313152_n.jpg?_nc_ht=scontent-lht6-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=S94dLg7MdFIAX_4a_zU&oh=4ed4d83ff7789d0e7ae225af218bc3d8&oe=5EFA56E4 natgeofollowed by: 137580343
#4@jlo
https://scontent-cdg2-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-19/s150x150/92346759_3432646253417743_7236500683753521152_n.jpg?_nc_ht=scontent-cdg2-1.cdninstagram.com&_nc_ohc=fRhRlo2AYP4AX-bjrKe&oh=6cf312f5458ccc9f20848bc3519ab3b1&oe=5EFC6D86 jlofollowed by: 122629558
#5@nickiminaj
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/77d7fecf4f335ae3639f775298affb7a/5E1BF888/t51.2885-19/s150x150/67074113_2418079028447950_3814924698316177408_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com nickiminajfollowed by: 106270660
#6@mileycyrus
https://scontent-frt3-2.cdninstagram.com/vp/0a3ab06bd65c8b37501185348417e63e/5E0D703E/t51.2885-19/s150x150/70393935_2415752375185719_3172673168821190656_n.jpg?_nc_ht=scontent-frt3-2.cdninstagram.com mileycyrusfollowed by: 99106804

See more instagram profiles from

UNITED STATES

MORE